Yanayofanyika mradi wa umeme wa gesi Kinyerezi 2

Ajira hata ikiwa ya miezi 6 lazma ifuate sheria za kazi ikiwemo kutoa mikataba.Mbona kuna kampuni zingine humu zinatoa ajira za muda mfupi na mkataba unapewa?
nitajie sheria iliyokiukwa hapo
 
Ni uongo kwamba eti huwezi kuchukua mafao yako hadi miaka 55 na kuendelea nina ushahidi wa kutosha marafiki zangu mwezi ulopita walifungua mafao yao na wiki iliyopita walipigiwa simu mafao yao yapo tayari na wameshavuta chao.
Je hao jamaa zako walikuwa mfuko gani wa jamii ni nssf ama ppf
 
Back
Top Bottom