Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

515e1dadad5e478cfc503ce84a8430ec.jpg

Wenzangu namie wakipewa buku sita kofia na t-shirts wanaridhika Wanasahau shida wanaenda kushangilia kitanzi chao wenzao huko duniani wanathamani balaa
 
Sikuelewi kabisa mkuu....
Hiyo childish behaviour unamaanisha ipi...
Maana nimeuliza Waalimu wa Universities na Colleges nao wanaingia kwenye group hilo...
Nashangaa ukaanza kumaka na kutoa makamasi nje..
Refer upuuzi wako ulivokuwa unavikandia na kuleta dharau kubwa kwa vyuo vingine ukiona udsm ndo Chuo pekee vingine takataka......Education is all about mindset liberation, nadhani we bado
 
Sawa kabisa! Ndiyo maana hata wewe Mwanafunz uliyepita kwenye Mikono yao ni Failure (Wameshindwa kukukwamua)
Nilisoma nikafaulu kwa effort zangu na labda walimu wa tuition kdgo...ila hawa employees wa serikali hamna kitu..saiz nna degree yangu ya udaktar ( MD) sikuwahi kufeli nasikia tu watu wanafeli
 
Nilisoma nikafaulu kwa effort zangu na labda walimu wa tuition kdgo...ila hawa employees wa serikali hamna kitu..saiz nna degree yangu ya udaktar ( MD) sikuwahi kufeli nasikia tu watu wanafeli
Haya sawa bhana hongera....
 
Hivi mi mnanishangaza mnalalamika walimu hivi walimu vile kwan kuna mwl kakuomba chumvi yako au chochote kile!? Wewe endelea kudharau wenzako hawadeal na wewe wanaendelea na maisha yao hiyo may mosi mnayoizungumzia kwa taarifa tu mtoa mada hata sizonje amewakasirikia walimu ndiyo maana hakutaja CWT pale sikiliza kwa umakin hotuba yake inaonekana kama anashukuru tughe na tucta c Cwt sasa msipende kuongelea sana walimu kwa udhaifu wao maana wao hawaongelei weakness zenu! Walienda hawakuenda we inakuhusu nini!? Hata wanune bado maisha ni yaleyale hayabadilik maana kama maeneleo binafsi ni ya mtu so mheshimiwa atasikilizwa lkn kiofisi yataendelea kuwa yaleyale
 
Back
Top Bottom