Yanawezekana: China wazindua daraja la urefu wa 55km kutoka Hong Kong mpaka Macau

Tumia pesa ili upate pesa
Promotion itawafanya China Waonekane vinara kwenye masuala hayo
 
Huko kwao wanajenga vizuri sana ila wakija Africa miundo mbinu yao wanayojenga mingi ni magumashi tu.
 
Nawaza tu. Hivi utapitaje na guta lenye mzigo wa mayai hao juu yaani utoke Mlandizi hadi Kigamboni juu juu ya maji na guta lenye mayai. Huku kwetu ingelikuwa kila siku ni kulisafisha matapiko ya watu wakiangalia bahari wapitapo hapo juu.
Hatulitaki hapa kwetu. Ati nitoke Kawe hadi Baga kwa daraja. Siendi
 
Mambo ya kutaka kuvuka daraja na lita 12 zq mafuta lazima gari izimike njiani maana hakuna kituo cha mafuta humo, napata picha ingekua Tanzania kwanza tusingelala wala kupumua kwa vijembe, TBC ingerusha live bwana mkasi akikata utepe
Nenda You Tube,katikati ya bahari wamejenga visiwa vya bandia ambapo unalipa road toll nk,hivyo nafikiri hadi vituo vya mafuta njiani wakiamua wanajenga. Acha kumchezea mchina kaka/dada. Kwenye suala la miundombinu,Mchina ni mtu hatari sana. Wakati US anakomaa na Silaha kali kali na zana za kisasa kama THAAD,NIMTZ,F22,F35,MOAB nk na huku Russia akikomaa na Sukhoi Su 35,FOAB,S500,S400,S300 et al,Mchina yeye bwana kakomaa na miundombinu ya kisasa yenye manufaa ya maisha ya kila siku kwa raia wake,japo anajitahidi pia kukomaa na jeshi lake.
 
mkuu meli zikitaka kukatisha kwenye hiyo road inakuwaje?
180424120241-04-hong-kong-zhuhai-bridge-super-169.jpg
 
mrad wowote hujengwa sehemu yenye faida na mradi hujengwa sehemu yenye uzalishaji uweze kujiendesha
 
In moja kati ya Plan Ya MainLand China kuleta utawala was Kikominist ndan ya Democratic Hong Kong ..wachina wajajanja sana
 
Back
Top Bottom