Yamoto bend wafunguka kuhusu ugomvi wao na Fella na sababu za ukimya wao

Umemsahau na Ruge mkuu.Huu ni upuuzi,kwa jinsi teknolojia alivyokuwa sielewi kwanini wasanii bado wanaendelea kuwa nyenyekea hao.Ukizingatia pia radio sio moja inchi hii.
Mkuu hao wana network sio station moja kaka.....wana connection radio na tv karibia zote nchin za dar....
muangalie tunda anavyopata tabu baada ya kutofautiana na tale
 
Sio bure,wewe na mabosi wako mna matatizo na EA RADIO/EATV.Hiki kinacho onyeshwa hapo ni maneno ya kutungwa au dogo mwenyewe anaongea? Ni nani asiyejua kuwa Fella amekuwa anawanyonya madogo? Acheni kupeleka ngoma zenu kwao na msusie interviews, sio kueneza propaganda za kitoto mitandaoni.Watu wamepitia blood,sweat and tears kujenga hizo brands halafu nyie mnakesha mitandaoni kujaribu ku tarnish image yao katika jamii.Hii haikubaliki, akirushiwa jiwe Diamond mbio utakuja kutukana hapa.Waacheni wafanye yao na nyie fanyeni yenu kwa style zenu.
Hayo ni maoni yangu na SIJAKURUPUKA NA SIBADIRI MAWAZO HATA UKITOA MAKOOZI SEMBUSE MAPOVU YAKO YASIO NA HOJA.
 
Habari za EATV na EA Radio habari zao mara nyingi ni zile zenye ujumbe m'baya kwa wasanii wote walio na "mafungamano" ya moja kwa moja au kwa namna nyingine na "TIMU YA MAFANIKIO" lakini hata siku moja utosikia habari mbaya inayomuhusu "balozi wa tembo" (UTAYAONA HAYO KAMA UKO VIZURI KICHWANI,ILA KAMA BURE KICHWANI UWEZI KUONA)

mkuu wewe una yako,
hii ni interview muhusika anajielezea mwenyewe achana na mambo ya hizo team ushuzi zinasababisha unajivua akili.
 
Back
Top Bottom