Yametimia,mkutano wa dr. Slaa wakwama Kahama,wananchi wasusia mapokezi na mkutano

Status
Not open for further replies.
tuntemeke naona matatizo yako bado yanaendelea wewe na chadema mpaka ukiue kabisa TATIZO UMESAHAU ALICHOKIPANGA MUNGU WEWE TUNTE NINANI MPAKA UKIZUIE?

Mungu kapanga nini kwa CDM henu tujulisheni jamani!
 
Sasa mnataka ushahidi wa vipi wakati mnaambiwa hakuna watu Chadema ndiy imefika mwisho
 
uchu wa madaraka na fitina vimeua chama chetu, chadema tulikupenda lakini mungu kumpenda zaidi
 
Dawa ni moja tu .Weka picha za Slaa akiwa jirani na hapo na huo uchache wa watu unao usema .Mwaga ushahidi badala ya kuanza kutangaza ziara ya mtu unaye mchukia .
 
VIJANA WATOA NA WATETEA POST MBONA HAMSOMEKI

leteni japo kapicha ka kupigwa na simu ya mchina basi japo tujiridhishe kidogo.
 
Hivi kahama hakuna makamanda wa kutupa updates mbona Arusha imewezekana? msisahau na picha
 
Wakilala wakiamka, wakikaa, wakila, wakiwa chumbani na wake zao tendo linakuwa chungu kisaaa Zito. Zitto hata akifa kesho kama alivyouwawa CHACHA WANGWE bado misingi yake itasimama daima dumu na mtoto wake au mtu mwingine atakuja simama na kutimiza azma yake ya mabadiliko ya kweli. Siasa ni mipango ya muda mrefu, wote leo tuna mtukana zito na kumpachika majina mabaya tunaweza kufa muda wowote na huku nyum kivuli cha zitto kikaendelea kutawala akili za watoto wetu na vizazi vijavyo. Zitto historia itamuandika kama mwanamabadiliko wa kweli na hawa wa msimu wote watapotea. Ni jambo baya sana kwa mtu kama Msigwa ambaye hata miaka mitano hajafikisha chadema kumshambulia mtu mwenye miaka ishirini katika historia ya chama. Mtu aliyetumia muda wake, elimu,nguvu, mali, n.k katika kukijenga chama leo ni mtu anatukanwa na kijana wa miaka ishirini aliyeijua chadema mwaka uliopita. Mungu si kiziwa/kipofu. Anawajua na anawaona wale wenye dhamira ya kweli katika kuleta mabadiliko katika jamii/masikini na yule mlaghai.
 
Taarifa kutoka chanzo cha uhakika pale kahama ni kwamba,Mkutano wa Dr.slaa umekwama kufanyika,Licha ya maombi ya jitihada za maofisa wa chadema kuwabembeleza wananchadema na wananchi kuhudhuria mkutano huo.

Hadi nakuja hapa ni saa 11 na dakika 50 hali ni tete hapa Viwanja vya Kahama ,Wananchi wanaendelea na kazi zao huku vijiwe kadhaa vikiongezeka kuzungumzia sintofahamu hiyo./


Ikumbukwe Dr.slaa alionywa hapo awali kutokufika kwenye hiyo Mikutano yake hiyo kutokana na Utendaji wake Mbovu,Fitina anazofanya zidi ya kiongozi mwenzake Zitto kabwe na mwenendo mzima wa chama chake.
Sasa,Leo hii ikiwa ndio kwanza Ziara yake imeanza,mapoekezi hayakuwepo kabisa as if anayepita ni raia tu wa kawaida na sio yule Dr.slaaa wa Mwaka 2010
.

Narejea kwenu hivi punde kuwajuza nini hatma yake .

OMBI KWA WAANDISHI WA HABARI
Magazeti,Redio na Televison,Mnaweza kumtafuta Tumaini makene waeleze sababu za kukwa kwa mkutano huo,Au tumieni vyanzo vyenu vya habari pale kahama kujua namna Dr.slaa alivyodhalilika kwa kukosa mapokezi na kutofanyika kwa mkutano wake.


UPDATES::
Eneo la Mkutano kuna watu wachache sana,Asilimia kubwa wamejipanga kumzomea kwa namna ambavyo maneno na vijiwe vidogovidogo vya makundi wanavyozungumza.
Dr.slaa yupo eneo la karibu na Mkutano ambapo maofisa wa chadema wanajipanga kumpandisha,Lakini muda wa Mkutano kisheria umefika mwisho ambapo mkutano wa siasa hauruhusiwi kufika saa 12 na dakika 20.
Nitaendelea kupwa Updates hapahapa

endeleza umbeya kutoka kwa Bobson, mbona amehutubia mkutano mkubwa sana na picha zitaweza kuu kuumbua soon.,Kuwa mkweli Msafara wa Dr.Slaa ulichelewa njiani kutokana na mambo mbalimbali , sasa wewe ni umbeya tu
 
Dawa ni moja tu .Weka picha za Slaa akiwa jirani na hapo na huo uchache wa watu unao usema .Mwaga ushahidi badala ya kuanza kutangaza ziara ya mtu unaye mchukia .
Kwan Slaa yuko peke yake huko waliopo naye wabebe jukumu la kuhabarisha jukwaa ukweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom