Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

PASCO acha ushabiki:

siku nikisikia CHADEMA imeshinda kwenye mikoa inayo matter ki population, elimu, pesa, media na influence (by that I mean MBEYA, IRINGA, MWANZA , ARUSHA ndio ujue CCM safari ya kuondoka imewadia). As long as CCM imejizatizi mikoa hiyo then wataendelea kututawala miaka 100 ijayo

Upo dunia hii mkuu!
Hyo mikoa unajua wabunge waje ni kutoka cdm au ulimaanisha nn?
 
Wadau nasema haya kwasababu hata kama wananchi wakiamka na kupigia kura UKAWA bado CCM na tume yao ya uchaguzi watachakachua kwa namna yoyote, watatumia polisi, usalama wa taifa na hata JWTZ kuhakikisha wanabaki madarakani.

Chukua hii: ''Mimi ni MBADHIRIFU. Najua wazi kwamba mtu X na wenzie wakiingia madarakani watanifilisi mali zangu zinazofikia TRILIONI 1. Kuna kosa gani nikitumia leo asilimia 1 (billioni 10) ya mali zangu kuhakikisha kwamba mtu X na wenzie HAWASHINDI ili mimi na wanangu tuendelee kuishi maisha mazuri...?!?

nawasilisha
 
Kwa katiba ilivyo sasa Rais kuwa na mamlaka juu ya Tume ya Uchaguzi ni kweli CCM haitaondoka kwa Sanduku la Kura, lakini ipo siku CCM itaondoka kwa Nguvu ya Uma sio vyama vya siasa.
 
Chadema mkiamua, mnaweza!. Ushindi huu, umewafungulia njia kuelekea 2015, yaani njia ni nyeupe!, kilichobakia ni kujipanga kwa kupanga mipango mkakati na kuunda kikosi kazi kitakachokabidhiwa malengo na kujadili utekelezaji with time frame, 2015, Ikulu ya Magogoni ni yenu!.

inawezekana safari ya Chadema kuelekea Magogoni 2015 ndio imeanza?,
inawezekana safari ya CCM kuelekea Kaburini ndio imeanza?,
inawezekana sasa Watanzania wanachagua kwa kufanya informed decisions na sio kuchagua tuu kwa mazoea?!,
Na jee Chadema imejipanga kuweza kuchukua nchi hiyo 2015?!.

Pasco.
Naendelea tuu kufanya mapitio!.
Nilisema nini lini, nini kilifanyika, ninasema nini leo, ili ku determini nitasema nini 2015!.
Pasco
 
Wanabodi,
CCM sasa ni "sikio la kufa..." na kama ni tunda, basi ni "lakuvunda..."
Chadema mkiamua, mnaweza!. 2015, Ikulu ya Magogoni ni yenu!.

Asanteni.

Pasco.
Nafanya rejea ya baadhi ya maneno niliyowahi kuyasema kuhusu Chadema, kuwa wakiamua, wanawaweza, nimepata fununu kuwa hatimaye Chadema wameamua, sasa wanakwenda Ikulu ya Magogoni, ambapo kuiangusha CCM, ni kama kumsukuma mlevi!.

Ndani ya saa 48 kutokea sasa, uamuzi huu wa Chadema kuamua kwenda Ikulu, utatangazwa!.

Keep waiting!.

Pasco, yule mgombea wetu waliemfanya jiwe la pembeni,anakuja na mtaji wa wabunge wa ngapi??!! Kwa haraka haraka tu Mkuu tupia dodoso!

Me binafsi naunga mkono Lowasa kuja CHADEMA,CCM ni dubwana kubwa ambalo limekuwa zimwi,inahitajika watu kutoka ndani ya CCM,TISS na serikali yenyewe ili kuliangusha dubwana hili ja sio upinzani tu walio nje na kusubiri hisani ya NEC kutenda haki,NEC so far sio chombo cha haki,ni chombo cha watawala!!

Lowasa anaiweza kazi hii,ukijumlisha na jitihada za CHADEMA hadi sasa ya kutandaza chama mijini hadi vijijini,CCM haipendwi na Watanzania wazalendo,inapendwa na vimada,watoto,vibaraka na wezi wenza wa vigogo wa CCM na serikali.

Lowasa ni Weapon of Mass Destruction(WMD) dhidi ya CCM,na atakuwa shujaa milele baada ya Nyerere kama atathubutu
 
Last edited by a moderator:
1437886315330.jpg yametimia
 
Sometime utamshinda adui yako kwa kumtumia mtu wake wa karibu waliekorofisha.so Lowassa akija Chadema atakuwa anatuongezea nguvu kubwa sana
 
Mbali ya kuchokwa ccm imejiongezea maadui wengi kupita kiasi .sasa hivi wanaingia kugombea huku kuna mambo mengi wananchi wanapinga na dawa ya kuyazui ni kuinyima kura ili isiwepo kuendelea kutekeleza .mfano wanaopinga katiba mbovu.,wanaopinga sheria mpya ya gas na madini.,wanaopinga mafisadi kupeta mtaani ,wanaopinga kutawala kwa rushwa ,,wanaopinga halingumu ya maisha na umasikini unaondelea bila majibu,wanaopinga lowasa kuenguliwa,wanaopinga kujaa dharau na ulevi wa madarka na ukwasi mkubwa unaoonekana kuwa nao viongozi wa utawala wa ccm .uongezea na wewe maana ni mengi kupita kiasi
 
Ukawa kuingia ikulu ni ndoto kwasababu:-
1. Upinzani siku zote hupelekeka pingamizi la matokeo ya urais mahakamani, lkn mwisho wake rais
huapishwa na malalamiko yanaishia hewan tu.

2. Matumizi ya vyombo vya Ulinzi na usalama kuwakata makali wapinzani.:

3. Wagombea waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuwekewa pingamizi hata kama ni uongo. Mfano uchaguz mdogo mwaka jana 2014, weeeengi wa wagombea waliwekewa pingamizi, uchaguzi ukafanyika na hakuna lolote.

Pasipo kujipanga kukabiliana na mbinu hizi, kushika madaraka makubwa itakuwa ni ndoto za mchanaa..
 
Mmmmmh
 
Attachments

  • 1437888038013.jpg
    1437888038013.jpg
    53.4 KB · Views: 371
  • 1437888060968.jpg
    1437888060968.jpg
    58.3 KB · Views: 350
Pasco, yule mgombea wetu waliemfanya jiwe la pembeni,anakuja na mtaji wa wabunge wa ngapi??!! Kwa haraka haraka tu Mkuu tupia dodoso!

Me binafsi naunga mkono Lowasa kuja CHADEMA,CCM ni dubwana kubwa ambalo limekuwa zimwi,inahitajika watu kutoka ndani ya CCM,TISS na serikali yenyewe ili kuliangusha dubwana hili ja sio upinzani tu walio nje na kusubiri hisani ya NEC kutenda haki,NEC so far sio chombo cha haki,ni chombo cha watawala!!

Lowasa anaiweza kazi hii,ukijumlisha na jitihada za CHADEMA hadi sasa ya kutandaza chama mijini hadi vijijini,CCM haipendwi na Watanzania wazalendo,inapendwa na vimada,watoto,vibaraka na wezi wenza wa vigogo wa CCM na serikali.

Lowasa ni Weapon of Mass Destruction(WMD) dhidi ya CCM,na atakuwa shujaa milele baada ya Nyerere kama atathubutu
Mkuu kipumbwi, kwa vile mimi sio insider, siwezi kujua lolote, ila tuu nimekuwa tipped kuwa hatimaye Chadema sasa ndio wameamua kwa dhati, wanataka kwenda Ikulu!.

Tusubiri ndani ya saa 48, watatangaza, tusubiri watangaze ndipo tujadili!.

Pasco
 
Nafanya rejea ya baadhi ya maneno niliyowahi kuyasema kuhusu Chadema, kuwa wakiamua, wanawaweza, nimepata fununu kuwa hatimaye Chadema wameamua, sasa wanakwenda Ikulu ya Magogoni, ambapo kuiangusha CCM, ni kama kumsukuma mlevi!.

Ndani ya saa 48 kutokea sasa, uamuzi huu wa Chadema kuamua kwenda Ikulu, utatangazwa!.

Keep waiting!.

Pasco

Mkuu Pasco nadhani hata kama sikuoni naona una tabasamu ukiandika, maana dalili ya chaguo la moyoni mwako na utabiri wako ambao wengi mimi mmojawapo tulikurushia mawe bado liko hewani.

Kwa maono nakukubali, kwani kwangu naona mambo yameenda kwa kasi ya ajabu na siku foresee EL ndani ya kambi ya upinzani, wakati wote tulimtazama kama mmoja wa mfano wa mfumo uliochoka wa CCM. Pamoja na dhambi na madongo aliyotupiwa, bado sikubaliani na shutuma hizo kutoka kambi ya CCM kwa maana asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe, utawapata wangapi ndani ya mfumo huo
.
Kwa mtazamo wako maana niliwahi kukupongeza kuwa huna chama wala chaguo bali LOWASSA, je! EL ni kiongozi safi ambaye anaweza akaleta mabadiliko ambayo tunayataka akiwa kambi ya upinzani, au ni turufu tu ya kuutoa mfumo huu uliojikita mizizi kwa miaka takriban hamsini?

Tuamini ule msemo baniani mbaya ila kiatu chake dawa? Na muhimu kwa CHADEMA kuingia IKULU kwa gharama yoyote hata kuwatumia watu wa calibre ya EL, na wakiwa hapo wanaweza wakabaki na ile reputation yao waliyoijenga miaka mingi kuwa ni wapinga ufisadi?

Kama EL ikatokea akapata ridhaa ya kugombea turufu yake iko wapi? namaanisha watakaompigia ni wale wanaompenda kama ED ambao wako tayari kumfuata regardless ya chama atakachowakilisha?

Wapinga ufisadi, anaweza akawaaminisha vipi kuwa ataubomoa mfumo ambao wengi wanaompinga wanamuona yeye kama ndiyo icon ya ufisadi?

Au kama observation yako kuwa watanzania wameichoka CCM kwa hiyo si muhimu sana background yake muhimu ni jinsi ya kuitoa CCM madarakani halafu waanze kujipanga upya?

cc mzee mwanakijiji
 
Wanabodi,
huu ni uthibitisho kuwa Chadema mkiamua, mnaweza!. Ushindi huu, umewafungulia njia kuelekea 2015, yaani njia ni nyeupe!, kilichobakia ni kujipanga kwa kupanga mipango mkakati na kuunda kikosi kazi kitakachokabidhiwa malengo na kujadili utekelezaji with time frame, 2015, Ikulu ya Magogoni ni yenu!.

nimelipitia tena bandiko hili, kujikumbusha inawezekana safari ya kuelekea Magogoni 2015 ndio imeanza?, inawezekana safari ya CCM kuelekea Kaburini ndio imeanza?, inawezekana sasa Watanzania wanachagua kwa kufanya informed decisions na sio kuchagua tuu kwa mazoea?!, Na jee Chadema imejipanga kuweza kuchukua nchi hiyo 2015?!.

Hongereni sana Chadema.

Pasco.
Kwa ujio wa Lowassa Chadema, sasa for sure, destination ni Magogoni tuu!.

Pasco.
 
Back
Top Bottom