Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

Jamani wanaJF wakati mwingine tukubaliane mtu kuwa mwanaccm ni haki yake,kuna kushindwa na kushindwa,na JF ndio jukwaa lenyewe la siasa ambalo linaweza kushape hata wanasiasa wengine kujiona wataishi vipi nje ya madaraka ya kisiasa na serkali pindi ikitokea wakatupwa nje ya chaguzi zao.

Nimependa approch ya Pasco he is open and frendly,ameadimit kuwa yu mwanaccm,hiyo msimnyanganye ni haki yake ya msingi kama walivyo wengine humu ni haki yao ya msingi kuwa wanCDM na sie wengine ni haki yetu ya msingi kutokushabikia chama chochote kwa nia ya kiitikadi bali kwa mazuri watakayoyatenda kwa Taifa.

Kumpa majina kadha wa kadha kama mkosaji tuhesabu ni gharama ya kumchallange,kwa kuwa aliinvest kwenye kile alichoamini na walio upende wa pili kwa maana ya wanCDM nao wana sababu zote za kufurahi kwa kile walichomuhitaji Pasco ajiunge nao na kuja kushirikina nae kukitafuta nae Pasco akaamini kuwa angeweza kukipata hicho anachotiwa na upande wa CDM akiwa upande wa pili wa shillingi yani upande wa CCM kwa tiketi ya EL.

Nimatumaini yangu kuwa yeye binafsi asikate tamaa,kwa kuwa leo tunaita jukwaa kama jukwaa kwa kuwa upande wa pili alikuwapo PASCO,FAIZA FOXY na REJAO,ebu pateni picha watu hao watoweke kabisa ndani ya jukwaa hakika tutaboreka na story za kuisifu CDM au kumsifu kiongozi yoyote ambe ni kipenzi cha wana CDM au wanaCCM ndani ya Jamvi.

Na ndio maana uwa nawaomba sana wanaCDM katika sara zao na maombi yao,iwe ni kuomba CCM iweko ili nayo ije kushuhudia kuwa kwa ukiziwi wao kumbe wako watanzania wengine pia wanaweza kuijenga nchi kupitia vyma vingine vya upinzani kama CDM,na kweli wakipewa na wamepewa wameweza kufanya maajabu.

Kwa wakristu wanajua tunaaambiwa kuwa tumwombee adui yetu maishana malefu ili adui apate kuona Mungu anavyokubaliki.Hivyo CCM wanasababu yote ya kuwapo kwenye sarakasi zote za kisiasa kwa nguvu ile ile yaliyotokea ndio maana ya kushindana kuwa mmoja ni lazima ashinde na mwingine ni lazima ashindwe, na ambae amekubalika kwa umma ndie anaepaswa kushinda uchaguzi husika.Ombi langu kwa Pasco asimvunje moyo EL kwa kuwa bado matumaini ni mengi,ajaribu njia ziko nyingi akimvunjika nguvu saizi,itamfanya apoteze ndoto yake,na hivyo kuwapotosha CDM na kubweteka kuwa hawana mpinzani na hivyo kuiona 2015 kama magogoni ni yao.Isije kuwa wamemwamsha jaynt aliyelala wasije wakalala wao CDM.

Hakika kwa CCM nimatumaini yangu watajipanga na watu aina ya Pasco mnatakiwa kukaa kama kamati na kuja na mbinu mpya ndio kumekucha askari atundiki kombati na silaha ukutani,askari vitani anabeba bunduki na na kusonga mbele.Tunataka changamoto daima manake pasipo hizo changamoto CDM itageuka CCM na CCM ikifa hatutakuwa na CDM nyingine wakati CDM itakapokuwa imekalia kiti cha CCM na hivyo kuludi kule kule.

Waaambieeee wazee wakiludi Lumumba watafute Task force yenye sura ya vijana wenye damu iliyochemka na inayochemka hasa wanaoweza kushindana na Tindu Lissu,Zitto Kabwe,Ben na Kina Mnyika kwenye ulimwengu mpya wa mtandao ambao hakika wanae mtu mmoja tu Nape na Wewe.Ili kuwakabili wakina CDM ni hakika unaitaji vijana wapya kama ishirini graduate,wasio na majina kuwa baba yake fulani alikuwa waziri na mbunge hivyo amefariki mwanae apewe pole ya ubunge hapana hicho si kizazi cha kushinda na vijana wa CDM ambao wanasura ya vijana wa Tanzania wa sasa ambao wanadalili zote za kuchoka mambo ya wazee wetu walio wengi ambao wanaamini kuwa wanastahiki kuwapangia vijana wa kizai kipya aina ya maisha ya kushi..

Wakati CDM wanafurahi ushindi ,nyie CCM mnapaswa kuwa mmekaa mnaunda kikosi kazi [task force] za wasomi,wenye uwezo wa kushindana kwa hoja,sio mbinu za ovyo ovyo za kihuni na mikakati ya mababu zetu,wakati hiki ni kizazi kipaya [new generation dotcom].Ebu angalia CDM walivyokusanya takwimu zao very fast na kwa uhakika [Accurately].Humu ndani sikuona mwanaCCM yoyote yule akileta taarifa za maendeleo ya uchanguzi ndani ya CCM ukiondoa wewe kama mpiganaji wa EL.Na mara moja mbili Nape anapopita hapa,lakini dhahili hakuwa na mood ya Project ya EL na mkwewe SIOHI huko Arumeru kitu ambacho hata kama ni mimi,wazee wanajua kuwa mimi na Mzee mwenzao hazipandi wanakuchonganisha kufanya nae kazi lazima nifanye kazi kama mgonjwa wa kifua wakati wote nakimbia baridi.

Aksante sana kwa kuwa mmoja wa wanaccm waliokipongeza CCM nao pia CDM wasianze nao vijembe visivyo na msingi,wajali kuwa wameongeza jembe la kulimia shambani na hivyo tunategemea mavuno ya maana shambani [Bungeni] na wanaarumeru wafurahi kuwa hawakuwa na sababu ya kushindwa kumchagua Nasari hata kama hana Mke na kuwa mke na siasa ni vitu viwili tofauti.

Naomba Pasco pumzika vuta pumzi,tafakarini na mzee,kisha muone ni njia gani mpya mnaweza kuja nayo stil we have millions of dollars,issue ni new team with new vision not always the same means the same people,wakati mwingine nikuongea mfano issue ya MAFISADI ni HOT TOPIC pandeni na hiyo majukwaani jengeni hoja kwenye hiyo mbona mtapeta tu,wabongo wamechoka na wanamind sana issue ya MAFISADI usawa huu awana kitu.
 
Naona majina yote mabaya ushaitwa.....

Mi ni Mkristo wa kweli na mpenda mabadiliko wa kweli vilevile....

Ninachoweza kusema ni "Karibu nyumbani, chukua glass ya maji unywe bro.... umekuwa na siku ndefu sana, Pole!!"
 
Finally umejitokeza! nilikuwa najiuliza kwanini unauhakika hivyo kumbe sababu ni kuwa watz ni walewale, lakini kwenye post yako ulisisitiza kuwa sababu ya kushinda ccm ni kwa sababu CDM imemsimamisha mgombea ambaye alishindwa na mahututi. Anyway ni vizuri kukubali matokeo hasahasa kama ni yahaki. Tusonge mbele kuijenga nchi yetu kwa kutoa mawazoya nini kifanyike.
 
Jamani wanaJF wakati mwingine tukubaliane mtu kuwa mwanaccm ni haki yake,kuna kushindwa na kushindwa,na JF ndio jukwaa lenyewe la siasa ambalo lnaweza kushape hata wanasiasa wengine kujiona wataishi vioi nje ya madaraka ya kisiasa na serkali pindi ikitokea.

Nimependa approch ya pasco he is open and frendly,ameadimit kuwa yu mwanasiccm,hiyo msimnyanganye ni haki yake ya msingi kama walivyo wengine humu ni haki yao ya msingi kuwa wanCDM na sie wengine ni haki yetu ya msingi kutokushabikia chama chochote kwa nia ya kiitikadi bali kwa mazuri watakayoyatenda kwa Taifa.

Kumpa majina kadha wa kadha kama mkosaji tuesabu ni gharama ya kumchallange,kwa kuwa aliinvest kwenye kile alichoamini na walio upende wa ppili kwa maana ya wanCDM nao wana sababu zote za kufurahi kwa kile walichomuhita kuja kushirikina nae kukitafuta nae akaamini kuwa angeweza kukipata akiwa upande wa pili wa shillingi.

Nimatumaini yangu kuwa yeye binafsi asikate tamaa,kwa kuwa leo tunaita jukwaa kama jukwaa kwa kuwa upande wa pili alikuwpo PASCO,FAIZA FOXY na REJAO,ebu pateni picha watu hao watoweke kabisa ndani ya jukwaa hakika tutaboreka na story za kuisifu CDM au kumsifu kiongzoi yoyote ambe ni kipenzi cha wana CDM au wanaCCM.

Na ndio maana uwa nawaomba sana wanaCDM katika sara zao na maombi yao,iwe ni kuomba CCM iweko ili nayo ije kushuhudia kuwa kwa ukiziwi wao kumbe wako watanzania wengine pia wanaweza kuijenga nchi,na kweli wakipewa na wamepewa wameweza kufanya maajabu.

Kwa wakristu wanajua tunaaambiwa kuwa tumwombee adui yetu maisha malefu ili adui apate kuona Mungu anavyokubaliki.Hivyo CCM wanasababu yote ya kuwapo kwenye sarakasi zote za kisasa kwa nguvu ile ile yaliyotokea ndio maana ya kushindana kuwa mmoja ambae amekubalika ndie anaepaswa kushinda.Ombi langu kwa Pasco asimvunje moyo EL kwa kuwa bado matumaini ni mengi,ajaribu njia ziko nyingi akivunjika nguvu saizi,itamfanya apoteze ndoto yake,na hivyo kuwapotosha CDM na kubweteka kuwa hawana mpinzani na hivyo kuiona 2015 kama magogoni ni yao.Isije kuwa wamemwamsha jaynt aliyelala wasije wakalala wao CDM.

Hakika kwa CCM nimatumaini yangu watajipanga na watu aina ya PASCO mnatakiwa kukaa kama kamati na kuja na mbinu mpya ndio kumekucha askari atundiki kombati na siraha ukutani,askari vitani anabeba bunduki na na kusonga mbele.Tunataka changamoto daima manake pasipo hizo changamoto CDM itageuka CCM na CCM ikifa hatutakuwa na CDM nyingine wakati CDM itakapokuwa imekalia kiti cha CCM.

Waaambieeee wazee wakiludi Lumumba watafute Task force yenye sura ya vijana wenye damu iliyochemka wanaoweza kushindana na Tindu Lissu,Zitto Kabwe,Ben na Kina Mnyika kwenye ulimwengu mpya wa mtandao ambao hakika wanae mtu mmoja tu Nape na Wewe.Ili kuwakabili wakina CDM ni hakika unaitaji vijana wapya kama ishirini graduate,wasio na majina kuwa babe yake akifariki apewe pole ya ubunge hapana hicho si kizazi cha kushinda na vijana wa CDM.

Wakati CDM wanafurahi ushindi ,nyie mnaunda task force za wasomi,wenye uwezo wa kushindana kwa hoja,sio mbinu za ovyo ovyo za kihuni na mikakati ya mababu zetu,wakati hiki ni kizazi cha new generation dotcom.Ebu angalia CDM walivyokusanya takwimu zao very fast na kwa uhakika [Accurately].Humu ndani sikuona mwanCCM yoyote yule akileta taarifa za maendeleo ya uchanguzi ndani ya CCM ukiondoa wewe kama mpiaganaji wa EL.Na mara moja mbili Nape anapopita hapa,lakini dhahili hakuwa na mood ya Project ya EL na mkwewe SIOHI huko Arumeru kitu ambacho hata kama ni mimi,wazee wanajua kuwa mimi na Mzee mwenzao hazipandi wanakuchonganisha kufanya nae kazi lazima nifanye kazi kama mgonjwa wa kifua wakati wote nakimbia baridi.

Aksante sana kwa kuwa mmoja wa wnaccm waliokipongeza CCM nao pia CDM wasianze nao vijembe visivyo na msingi,wajali kuwa wameongeza jembe la kulimia shambani na hivyo tunategemea mavuno ya maana shambani [Bungeni] na wanaarumeru wafurahi kuwa hawakuwa na sababu ya kushondwa kumchagua Nasari hata kama hana Mke.

Naomba Pasco pumzika vuta pumzi,tafakarini na mzee,kisha muone ni njia gani mpya mnaweza kuja nayo stil we have millions of dollars,issue ni new team with new vision not always the same means the same people,wakati mwingine nikuongea mfano issue ya MAFISADI ni HOT TOPIC pandeni na hiyo majukwaani jengeni hoja kwenye hiyo mbona mtapeta tu,wabongo wamechoka na wanamind sana usawa huu awana kitu.
Mkuu yeye kasema hivi "Mimi sio mwana CCM bali imetokea Sioi kuwa ni rafiki yangu" sasa sijui umemquote wapi?
 
Mkuu yeye kasema hivi "Mimi sio mwana CCM bali imetokea Sioi kuwa ni rafiki yangu" sasa sijui umemquote wapi?

Tatizo Pasco hajui au hataki kujua tofauti kati ya "Acquaintance na friendship". Kumjua mtu ahata kufanya naye kazi fulani haimaniinshi kuwa tayari nyie ni marafiki.
 
Pasco utalamba miguu ya Lowasa mpaka lini? Au akidondokea pua 2015?
 
CHADEMA itapata wanachama na marafiki wengi sana kuanzia sasa.MUNGU nashukuru kwa kusikia kilio chetu watanzania.Mateso haya basi.


hapo juu kwenye nyekundu..... hapo ndipo chadema wanatakiwa wawe very careful kwa vile there are all signs kwamba they are the next ruling party come 2015.

the jeetu patel's,manji's, chenge's of this world watakuja. and you know what will be the motivation behind it!

beware!!
 
Wanabodi,
Mara tuu baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2010, nilipandisha uzi wa "CCM Imechokwa!, Chadema Haijajipanga"!. Leo baada ya matokeo ya uchaguzi mdogo wa Arumeru, nimethibitisha kuwa ni kweli CCM Imechokwa, hivyo yale maneno yangu ya 2010, sasa yanatimia!. CCM sasa ni "sikio la kufa..." na kama ni tunda, basi ni "lakuvunda..."
Katika mada hiyo, nilisema Chadema, haijajipanga!. Ushindi wa Arumeru, sio uthibitisho kuwa sasa Chadema ndio imejipanga, no!, ni uthibitisho tuu kuwa CCM imechokwa, Wananchi wameamka na sio watu wa kuswagwa na kupelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe!.

Ushindi huu wa Arumeru, ni uthibitisho kuwa Chadema mkiamua, mnaweza!. Ushindi huu, umewafungulia njia kuelekea 2015, yaani njia ni nyeupe!, kilichobakia ni kujipanga kwa kupanga mipango mkakati na kuunda kikosi kazi kitakachokabidhiwa malengo na kujadili utekelezaji with time frame, 2015, Ikulu ya Magogoni ni yenu!.

Kufuatia chaguzi ndogo za Busanda na Biharamulo, nilijiaminisha kwa asilimia 100% kuwa Watanzania ni wale wale na CCM ni ile ile, na kuwa sio inachaguliwa kwa kupendwa, bali imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea, maadam sasa imechokwa, hakuna namna ya kuiokoa, safari ya kuelekea kaburini imewadia, kilichobakia ni kusubiria tuu itakufa kifo gani!.

Namalizia kwa kuipongeza sana Chadema, hongera sana Nasari, na pia naomba nimpongeze mwana jf mwenzetu, Mzee Mwanakijiji kwa "ule waraka".

Naomba kuiweka ile mada ya msingi for reference.

Asanteni.

Pasco.
Baada ya kusikia Chadema imezoa ushindi wa kata zote 4 za udiwani Arusha, nimelipitia tena bandiko hili, kujikumbusha inawezekana safari ya kuelekea Magogoni 2015 ndio imeanza?, inawezekana safari ya CCM kuelekea Kaburini ndio imeanza?, inawezekana sasa Watanzania wanachagua kwa kufanya informed decisions na sio kuchagua tuu kwa mazoea?!, Na jee Chadema imejipanga kuweza kuchukua nchi hiyo 2015?!.

Kwa maoni yangu, japo ushindi wa Chadema kwa kata nne ni fumba tuu la maji ndani ya bahari, ushindi ni ushindi tuu, ni mtamu!, always sweet victory, "the winner takes it all, the looser standing small!".
Hongereni sana Chadema.

Pasco.
 
Baada ya kusikia Chadema imezoa ushindi wa kata zote 4 za udiwani Arusha, nimelipitia tena bandiko hili, kujikumbusha inawezekana safari ya kuelekea Magogoni 2015 ndio imeanza?, inawezekana safari ya CCM kuelekea Kaburini ndio imeanza?, inawezekana sasa Watanzania wanachagua kwa kufanya informed decisions na sio kuchagua tuu kwa mazoea?!, Na jee Chadema imejipanga kuweza kuchukua nchi hiyo 2015?!.

Kwa maoni yangu, japo ushindi wa Chadema kwa kata nne ni fumba tuu la maji ndani ya bahari, ushindi ni ushindi tuu, ni mtamu!, always sweet victory, "the winner takes it all, the looser standing small!".
Hongereni sana Chadema.

Pasco.

Asante mkuu Pasco
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kusikia Chadema imezoa ushindi wa kata zote 4 za udiwani Arusha, nimelipitia tena bandiko hili, kujikumbusha inawezekana safari ya kuelekea Magogoni 2015 ndio imeanza?, inawezekana safari ya CCM kuelekea Kaburini ndio imeanza?, inawezekana sasa Watanzania wanachagua kwa kufanya informed decisions na sio kuchagua tuu kwa mazoea?!, Na jee Chadema imejipanga kuweza kuchukua nchi hiyo 2015?!.

Kwa maoni yangu, japo ushindi wa Chadema kwa kata nne ni fumba tuu la maji ndani ya bahari, ushindi ni ushindi tuu, ni mtamu!, always sweet victory, "the winner takes it all, the looser standing small!".
Hongereni sana Chadema.

Pasco.

hizo kata nne zilikua za chadema tangiapo...kama ccm wangeshinda hata moja tu ingekua disaster kwa cdm.
Kila mtu anajua kuwa hapo arusha ni ngome ya chadema kwahiyo ushindi huo wa kata nne haiwezi kuwa conclusion ya kuwa wameanza safari ya kwenda ikulu,uchaguzi wa mwaka ujao ndo utatoa indication na sio hizo kata nne.
 
hizo kata nne zilikua za chadema tangiapo...kama ccm wangeshinda hata moja tu ingekua disaster kwa cdm.
Kila mtu anajua kuwa hapo arusha ni ngome ya chadema kwahiyo ushindi huo wa kata nne haiwezi kuwa conclusion ya kuwa wameanza safari ya kwenda ikulu,uchaguzi wa mwaka ujao ndo utatoa indication na sio hizo kata nne.

Watashindana lakini hawatashinda!!!!.... Wewe kujibu hivyo ulivyojibu ni sawa, angejibu mtu mwenye akili zake hivyo ningeshangaa! Mfikishie mwigulu salamu za upendo
 
Pasco utalamba miguu ya Lowasa mpaka lini? Au akidondokea pua 2015?
Pasco jembe wewe..tatizo lake ni moja tu,anataka kuongoza ile Kurugenzi yetu pindi EL atakapokuwa Rais. Ndio maana unamwona kama anamlamba miguu EL
 
Last edited by a moderator:
Skendo Nyingi Za Ufisadi Wa Raslimali Za Tanganyika Zimefanywa Na Viongozi Na Makada Wa CCM Tangu 2005, Tangu Mwaka Huo Walituahidi Maisha Bora Kwa Kila Mtz Tukawachagua, Walituahidi Kilimo Kwanza, Matokeo Makubwa Sasa a.k.a BRN, Sasa Hivi CCM Wanasema Kilimo Ni Biashara, Hapo Zamani J.K.Nyerere Alisema Siasa Ni Kilimo,Kilimo Ni Uti Wa Mgongo, 1967 Nyerere Alileta Azimio La Arusha Baade Mwinyi Akaja Na Azimio La Zanzibar, Mkorogo Almuradi Mchanganyo Tuu, Huu Ndiyo Ukoo Wa Panya a.k.a, CCM 2015 Watakuja Na Slogani Gani??, Mimi Naapa Sitaipigia CCM Tena Milele Aslani.
 
Back
Top Bottom