Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pascal Mayalla, Apr 2, 2012.

 1. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,180
  Likes Received: 10,223
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  CCM sasa ni "sikio la kufa..." na kama ni tunda, basi ni "lakuvunda..."
  CCM imechokwa, Wananchi wameamka na sio watu wa kuswagwa na kupelekwa pelekwa tuu kama ling'ombe!.

  Chadema mkiamua, mnaweza!, njia kuelekea 2015, yaani njia ni nyeupe!, kilichobakia ni kujipanga kwa kupanga mipango mkakati na kuunda kikosi kazi kitakachokabidhiwa malengo na kujadili utekelezaji with time frame, 2015, Ikulu ya Magogoni ni yenu!.

  Watanzania ni wale wale na CCM ni ile ile, na kuwa sio inachaguliwa kwa kupendwa, bali imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea, maadam sasa imechokwa, hakuna namna ya kuiokoa, safari ya kuelekea kaburini imewadia, kilichobakia ni kusubiria tuu itakufa kifo gani!.

  Namalizia kwa kuipongeza sana Chadema, ushindi ni ushindi tuu, ni mtamu!, always sweet victory, "the winner takes it all, the looser standing small!".
  Hongereni sana Chadema.

  Pasco.
   
 2. K

  Kwaito Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  is this confirmed pasco?if yes then God loves us! viva CHADEMA
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Toa kwanza unafiki wako na uombe msamaha kwa wana JF vinginevyo unaendelea kudharaurika.

  Njaa mbaya sana Pasco itakuua.
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Pasco, naona umesahau (again) kuwa ulitabiri nini kuhusu huu uchaguzi wa Arumeru Mashariki. Infact sio tu ulitabiri you were certain about the outcome. Sasa umeguaka! lost for words!
   
 5. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Pasco Pasco.....ndio wewe huyu au?
   
 6. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Pasco's Renaissance? Mkuu wengi tutakuita kinyonga lakini kwangu mimi ni ukomavu wa hali ya juu.
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 11,269
  Likes Received: 1,847
  Trophy Points: 280
  ..CCM mbona ilishakufa zamani??

  ..hivi kwa akili zako inawezekana CCM, chama cha kijamaa, kikaongozwa na mwenyekiti anayemiliki mgodi wa makaa ya mawe[kiwira]??

  ..hivi kweli CCM, chama cha ukombozi wa Afrika, kinaweza kuongozwa na mwenyekiti[baada ya mmiliki wa kiwira kustaafu] anayehongwa suti na mfanyabiashara Mwarabu?

  ..tena mwenyekiti mwenyewe ni waziri katika serikali, na kwa nafasi yake hiyo serikali ilikuwa ikimnunulia suti kwa miaka 10.
   
 8. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama ni kijana nakupa pole kushabikia magamba...ukiamua songa mbele...ukiwa double standard lazima ugeuke jiwe la chumvi.
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,152
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  CHADEMA itapata wanachama na marafiki wengi sana kuanzia sasa.MUNGU nashukuru kwa kusikia kilio chetu watanzania.Mateso haya basi.
   
 10. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,250
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Wewe ndo pasco naekufahamu?? Nakufahamu kama mkereketwa na muhumini mzuri tu wa ccm magamba asa unavyotukataga ngebe tukiipinga ccm, any way labda sikukujua vizuri,, but good comments
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,007
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 160
  mimi sina cham hata kazi yangu hainiruhusu kuwa na chama ila
  moyoni mwangu napenda mageuzi napenda chadema wana sera nzuri
  siwezi kujivunia CCM kwa vile serikali yao inanipa mkate lkn wananchi wakifa na njaa wachache wakifaidi
  kwa kweli CCM imechoka,wananchi wameamka na nina Imani kaburi lao litawekwa zege 2015.
  viva chadema viva watanzania amkeni kumekucha.
  Pasco naamini moyoni mwako uko na chadema na umekuwa mwazi
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,751
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  CCM imechokwa,
  PASCO umechoka na kuanza kulialia hapa!
  Ooh mara ulikuwa mc wa naoa...
  Ooh nilimpigania EL kwa sababu ndio weakest!!
  My take:
  PASCO upo uchi,unatafuta sympath ya jf membaz!
  Sijui kwa wengine,ila kwa mimi hutoipata!
   
 13. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,236
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Pasco unahitaji kuangalia movie inayomzungumzia Frédéric Bourdin (le caméléon) inayoitwa The Chameleon!!!
   
 14. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi Pasco ili CDM ionekane imejipanga unataka ifanye nini? Ina maana Mwanza, Songea na Kiwira CDM kimeshinda kwa sababu ya kuchokwa kwa CCM tu?
   
 15. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 989
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Dah...nnafuraha sana,peoplezzzzzzzzzzzzz
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,324
  Likes Received: 1,457
  Trophy Points: 280
  Pasco unawatafutia watu Ban. Huna maana kabisa
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,468
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Pasco ana pwenti, ila ni mnafiki mno!!!
  powe.jpg
   
 18. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,352
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Mkuu unafiki ni kitu kibaya sana. Kuwa ni rafiki yako na ulikuwa MC kwenye harusi yake ni irrelevant hapa.
   
 19. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 7,621
  Likes Received: 3,366
  Trophy Points: 280
  Mkuu Pasco anapaswa kujiita Pasco the comedian yaani sijataka kusema ile tafsiri yake hasa.

  Watu hawajaichoka CCM bali wanataka mabadiliko. Wanaweza kuwa bado wana mapenzi na CCM lakini ni vizuri kwa wakti huu na hata kufikia 2015 Chadema kikawa chama tawala.

  Halafu Pasco anasema amemfahamu Siyoi na alikuwa MC kwenye harusi yake.

  Lakini Pasco asisahau pia kuwa kuna watu kama akina sisi ambao tunamfahamu Siyoi tangu akitumia jina la Siyoi Solomon na alipoambiwa atoe jina hilo na aweke la Sumari ili kupalilia nafasi yake kwenye siasa.

  Siyoi alikwishapewa ushauri na watu ambao wanamfahamu kwa karibu kwamba aachane na haya mambo ya siasa na atafute tu kujiimarisha kwenye fani yake ya sheria na hakuweza kusikia labda kwa shinikizo la baba mkwe wake.

  Afadhali kaka yake Kisali aliamua mapema kutojihusisha na mambo haya ya kuvaa magamba ambayo hawafahamu chanzo chake.
   
 20. M

  Mboko JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,060
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Pasco Pasco au Pascola au Scola wewe tena ama kweli Jaquar wa Kenya kaimba na nukuu kidogo tu kwa mbali Huyu pasco kigeugeu......huyu si ndo yule alitalia CHADEMA kuanguka sasa katoka wapi tena duuh ama kweli Makamanda wako sawa njaa mbaya na njaa hii inasababisha now day hata wanaume wanaolewa pole sana Pascola kwa kuangukia pua wewe na Magamba wenzako plus Sioi na sasa ataolewa,Yu wapi Lusinde mgonjwa wa akili hatumlaumu sana kwani huenda ugonjwa wa akili ndio unamfuatilia ati huyu Lusinde na Kudadadeki zake.Kwa ushauri tu nawaomba wale wote wanaongozwa na huyu somebody so called Lusinderela wamsindikize milembe kabla mambo hayajakuwa mambo.
  Ati pia ni mtunga sheria Lusinde naomba kama utasoma hapa acha ujumbe tu na nitakujibu safi sana Kudadadeki subiri kupanda kizimbani kwa matusi yako uliyowatukana viongozi wa ukweli.
   
Loading...