kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
baada ya kuomba ushauri kama ubuntu na window 7 ni ipi bora na watu wengi kunishauri kuwa ubuntu ni bora zaidi!leo nimeweka ubuntu kwa msaada wa mtaalam lakini tatizo ni kuwa documents zangu zote nilizokuwa nimeweka kwenye disc d zimepotea na sina au sijui njia ya kuzipata na niuhimu sana jamani.tafadhali naomba mtu anaejua jinsi ya kuzipata anisadie maana sijitambui kwa hili lililonikuta na jinsi zilivyokuwa na umuhimu mkubwa kwangu.naomba sana msaada wa hili na kama kuna mtaalam anaweza nimfuate anisaidie