yamenikuta tafadhali

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
baada ya kuomba ushauri kama ubuntu na window 7 ni ipi bora na watu wengi kunishauri kuwa ubuntu ni bora zaidi!leo nimeweka ubuntu kwa msaada wa mtaalam lakini tatizo ni kuwa documents zangu zote nilizokuwa nimeweka kwenye disc d zimepotea na sina au sijui njia ya kuzipata na niuhimu sana jamani.tafadhali naomba mtu anaejua jinsi ya kuzipata anisadie maana sijitambui kwa hili lililonikuta na jinsi zilivyokuwa na umuhimu mkubwa kwangu.naomba sana msaada wa hili na kama kuna mtaalam anaweza nimfuate anisaidie
 
unaposema zimepotea kwenye "disc d" ina maana uliweka kwenye extra drive which mean computer yako ina logical drive mbili "C" and "D".

tueleze kama bado unaiona hiyo "disc d" ??
 
naahukuru sana mkuu kwa swali zuri sana,ninwpofungua window yangu ya ubuntu sioni local disc c au d zaidi ya kuona home na app nyingine kama videos,music na vingine.nimejaribu kutafuta lakini nimeshindwa.naomba msaada tafadhali
 
naahukuru sana mkuu kwa swali zuri sana,ninwpofungua window yangu ya ubuntu sioni local disc c au d zaidi ya kuona home na app nyingine kama videos,music na vingine.nimejaribu kutafuta lakini nimeshindwa pia napotaka kuangalia capasity (properties)yake haioneshi kama window 7naomba msaada tafadhali
 
hebu dadavua kidogo, hiyo os ya ubuntu ume install ikiwa embeded kwenye windows au imefanya dual os yaani imefanya installation ya ubuntu na windows kila os partition yake, hebu toa ufafanuzi kidogo niangalie jinsi gani naweza kukusaidia
 
katika ku install ubuntu nimeweka ubuntu yenyewe na sijaweka pamoja na window nyingine ipo ubuntu tu.katika kuangalia nimeona cd/dvd drive na file system likiwa na mafile mengi kama boot,bin,cdrom na mengine.
 
Wakati unafanya installation uli uncheck kile kibox cha kuformat au ulikiacha kimekua checked?
 
wakati wa kuinstall hakuna kitu chochote kilichotikea zaidi ya kuambiwa 'available space ni gb 260"na kuendelea kuji install yenyewe
 
Katika process za kuinstall kuna stage ikifika baada ya kuaallocate swap memory na sehem ya kuinstall ubuntu, baada ya hapo ndo katika maelezo kwa chini inatakiwa uancheck icho kichek box.... Ila kama una wasiwasi kua data zako zinaweza zikawa zimepotea inabidi ufanye recovery... weka windows alafu tafuta software inaitwa recuva au unaweza ukatafuta any recovery software.....
 
Kifupi ni kuwa umezifuta wakati wa kuweka Ubuntu. Ni vema unapoweka programu yeyote kuhakikisha unasoma na kuelewa maelekezo kabla ya kuruhusu chochote. Garbage in garbage out! Unachoweza kufanya:
1. Acha kuitumia na Uzime
2. Jaribu kurudisha mafaili hayo na programu kama TestDisk na Photorec kwa kutumia Flash au ifunge HDD ktk computer nyingine

Muda mwingine soma maelekezo au tafuta mtu akufanyie kazi hiyo
Alamsiki!
BH
 
Nachoona hapo ni kama ulitumia optiona ya 'use entire partition'. Na kweli hapo yamekukuta.
Unless kama sivyo na hiyo hard disk haikuwa formated, au unallocated space.
Recovery is your option. Na by the way ni desktop ama laptop. Maana kama ni desktop, naona kama maisha yanaweza kuwa marahisi kidogo.
 
duh, ugeni huu, kabla ya kuchokonoa pc hua inashauriwa kuhifadhi nakala ya kazi zako!
 
Katika process za kuinstall kuna stage ikifika baada ya kuaallocate swap memory na sehem ya kuinstall ubuntu, baada ya hapo ndo katika maelezo kwa chini inatakiwa uancheck icho kichek box.... Ila kama una wasiwasi kua data zako zinaweza zikawa zimepotea inabidi ufanye recovery... weka windows alafu tafuta software inaitwa recuva au unaweza ukatafuta any recovery software.....[/QUOTEasante sana mkuu nitaitafuta na kujaribu kuifanyia kazi
 
Nachoona hapo ni kama ulitumia optiona ya 'use entire partition'. Na kweli hapo yamekukuta.
Unless kama sivyo na hiyo hard disk haikuwa formated, au unallocated space.
Recovery is your option. Na by the way ni desktop ama laptop. Maana kama ni desktop, naona kama maisha yanaweza kuwa marahisi kidogo.

asante kwa ushauri wako mzuri kaka,kiukweli natumia lap top na wakati wa kuiweka ilituambia nafasi inayopatikana ni gb 230 ambazo ni za hii toshiba aina ya l 500.hapo hatukujua kama itafuta mafail yote maana iliendelea tu kujiinstall hadi mwisho.ilipomaliza ndo sijayaona tena hayo mafail na kukuta ila space iliyonambia ndo ipo kwenye window ya ubuntu
 
na kweli mie ni mutoto ya mkulima ila hii kitu niliuliza humu jamii forum kati ya window 7 na ubuntu ni ipi nzuri na nikaambiwa ubuntu ni nzuri na kweli ni nzuri tena sana sema tatizo ni kupotea kwa data zangu muhimu kabisa yaani ni nimepata pigo kubwa sana kwa kupotea kwa hizo dat
 
Ni nzuri kwa interface au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom