Yamenikuta: Mashuleni sio sehemu salama tena kwa watoto wetu

anawapiga na rula sehem za siri??? hiii hainiingii akilini kafatilie hili kwa kina mengine ni kuhelimishana atabadilika. sio sifa kukurupushana na watu ama vipi mwamishe mwanao coz wew ndo unajua thaman yake
luckyline sawa ndugu
 
Last edited by a moderator:
mwalimu mkuu anaweza
kufatilia na asichukue hatua stahiki atamlinda mganda mwenzie na badae
huyo mwalimu wa math akaongeza chuki maradufu kwa bintio kama kuna
uwezekano mtoto ahamishwe tu shule

ndio na mm ndo nimemshauri ivo usijifanye eti utafatilia iwe ni fundisho kumbe anamkomoa mwanae.kwan iyo ndo shule tu???
 
mwalimu mkuu anaweza kufatilia na asichukue hatua stahiki atamlinda mganda mwenzie na badae huyo mwalimu wa math akaongeza chuki maradufu kwa bintio kama kuna uwezekano mtoto ahamishwe tu shule

Hili la kumuamisha tayari tunalifanyia kazi, hawezi kuru ile shule! ila na mimi bado nafuatilia kivyangu! btw miss neddy macho yako, hongera kwa saloonist wako!
 
Last edited by a moderator:
poole sana ndugu, wakwangu alipigwa na mwalim mmoja wa kiganda, kesho nilimake sure kafukuzwa kazi na nilihamisha mtoto the same day, no masihara na my kids.
 
first I envy you slim5 I see you are a good dad bravo,pili hili ni jambo tosha kabisa la kuonya wazazi kuhusu shule za bweni,imagine mwanao ndo angekuwa boarding na anatendewa hayo ungeyajua saa ngapi?no place is safer for our children more than home with their parents!
 
Last edited by a moderator:
first I envy you slim5 I see you are a good dad bravo,pili hili ni jambo tosha kabisa la kuonya wazazi kuhusu shule za bweni,imagine mwanao ndo angekuwa boarding na anatendewa hayo ungeyajua saa ngapi?no place is safer for our children more than home with their parents!

True, I do appreciate ur concern!
 
Last edited by a moderator:
Hao wenye shule binafsi hata sijui wanapendea nini kuajiri waganda.
 
poole sana ndugu, wakwangu alipigwa na mwalim mmoja wa kiganda, kesho nilimake sure kafukuzwa kazi na nilihamisha mtoto the same day, no masihara na my kids.
Amehama maximo nini watoto bana...lazimawahamieshule za wastaarabu
 
no masihara to my kid, kama her/ his performance darasani hairizishi then bora niitwe .
swala LA kumchapa mwanangunwa like matakoni na black board ruler aisee siwez entertain huo uninga..after role shule zipo kibao za kulipia tena nzuri zaid
 
Pole sana...

Roho imeniuma utadhani katendewa hivyo mwanangu...

Fuatilia hilo jambo kwa ukaribu usiliache lipite

Tuwekee na jina tafadhali ili wazazi wengine waepuke kuoeleka watoto huko

Hivi Huyo mwalimu ana work permit????

Ana qualification kweli????

Umeongea point moja ya msingi...wazazi Usiache kuwa karibu na watoto wenu...msijifanye ma idd amini kwenye majumba yenu.... ili iwe rahisi kwa mtoto kukukabili pale apatwapo tatizo
 
Pole sana, ushauri mzuri sana kwa sisi wazazi kuwa karibu na watoto wetu,isifikie mahali mtoto anamuamini sana mwalimu kuliko mzazi,hii ilitokea kwa ndugu yangu mmoja mwanae alikuwa amebakwa na mwalimu wake na mwalimu alimwambia akisema atamuua basi huwezi amini yule mtoto alikataa katakata kwamba hajatendwa ni bahati tu kuna wenzake walishuhudia hilo na ndiyo waliosema kwa mzazi wake,mtoto yule alikuja kusema ukweli alivyoitwa polisi na kutishiwa kwamba anafungwa asiposema ukweli,na alipopelekwa hospital alikuwa ameharibika vibaya sana.
 
Back
Top Bottom