Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu

TAFUTA WA DINI YAKO. HUYO HATA UKIMSHAWISHI BADO NDOA HAITAKUWA NA AMANI. MAFUNDISHO YA KILOKOLE NA KIROMANI NI MAFUTA NA MAJI.

KWANI HUKO RC HAMNA WANAWAKE HADI ULAZIMISHE KUOA ASIYEKUTAKA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ya dini imekuja kujitokeza baadae sana baada ya kufanya mawasiliano sana ndio akaniambia anashindwa kukubaliana na Mimi kwa sababu ya imani ,ingawa kwangu naona kitu cha kawaida sana ,Ulokole kwa RC wala sio ishu kama mnakubaliana ,na isitoshe yeye anasema kwao yani kanisani wanamuamini sana yaani kama mwl wa dini vile so kama ataingia kwenye mahusiano ya namna hii ni kama kwenda kinyume na kile anachokiamini kwa sababu yeye kakulia kwenye dini na baba yake mpaka amedariki alikua mchungaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
proxy,

Hakuna mwanamke hapo na wewe siyo mwanaume ni wa kiume, Nachokiona hapo chemistry bond breaking ni even hata mkioana, Dogo usije ukashawishiwa ukabadili dini huyo mwanamke atakuendesha sana mwambie yeye abadili dini yake awe Mkatholic au wote Mbadili mwende Islam au KKKT kidogo mtakuwa na ndoa ambayo mpo moderate. Madhehebu mengi ya kilokole yanawafundisha wanawake na kuwaaminisha kuwa wanahaki sawa na wanaume pengine kuzidi, na unaelewa kuwa ukiwa baba wa familia wewe ndo kichwa cha nyumba yako, kwahiyo jiandae kupoteza uhuru na mke atakuoveride hapo ndo utajikuta unajuta kwanini ulibadili dini na kumfuata.
 
Back
Top Bottom