Yamekwisha

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Hatimaye interuiew iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na iliyokuwa na ushindani mkubwa/assistant accountant-udom imemalizika. Kwa mujibu wa taarifa zilizo patikana kwa msimamizi wa usahili uwo mesema matokeo yatawekwa kwenye mtandao mara baada ya mchakato kukamilika
 
vp mkuu kutakuwa na oral interview or ndo mwisho hapo wanachuja wapate wachache mana watu wa tutorial tunasubiria kwa hamu huku street
 
mkuu umeomba tutorial assistant katika fani ipi? nataka kuwajua wapinzani wangu mapema

vp mkuu kutakuwa na oral interview or ndo mwisho hapo wanachuja wapate wachache mana watu wa tutorial tunasubiria kwa hamu huku street
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom