Yaliyotokea mtaani kwetu kwa mwizi

anin-gift

Senior Member
Feb 17, 2012
168
225
Kuna mwizi mmoja alikuwa anavunja dirisha katika mojawapo ya chumba cha mpangaji m1 katika nyumba yenye wapangaji wengi. Bahati mbaya alikamatwa kabla ya kutimiza adhma yake. Wapangaji wakaamua kutopiga kelele ila wamkameruni iwe fundisho. Walipomaliza wakamwacha huru. Siku iliyofuata mida ya usiku wakasikia mlango mkubwa ukigongwa na mpangaji m1 akaenda kufungua ila coz ilikuwa usiku mnene jamaa akauliza nani huyo? Upande wa nje akajibiwa mimi yule mwizi wa jana. Watu duh, kumbe alinogewa na kale kaadhabu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom