Yaliyotokea Kwa Silinde Ni noma sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaliyotokea Kwa Silinde Ni noma sana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sekulu, Jun 29, 2011.

 1. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni juzi tu nimepita hapo Tunduma Jimbo la ndugu yangu Silinde.
  Nilipokuwa hapo kutoka nchi Jirani nikakaa pale mtaani kwetu kwa muda theni nikaendelea na Safari yangu.

  Nilisikia kwamba pale Tunduma kuna jamaa alikua anabadilisha watu kuwa N`gome na kisha kuwapeleka Machinjioni baada ya Siku tatu.

  Game yenyewe inasemekana ilikuwa inafanyika hivi,

  Jamaaa alikuwa anadondosha elfu kumi za noti,
  Ukiokota tu,
  Unabadilika na kuwa n`gome na baadae kutoweka katika hali isiyo ya kawaida!.

  Nilijaribu kuwa mkaidi sana ila baadae tena nipo kanisani nikasikia story hiyo hiyo. then nikasema huenda ikawa kweli.

  Ila huyo jamaa inasemekana kakamatwa na polisi.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!hearsay!!
   
 3. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Def natelly
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Acha kuamini mambo ya kusadikika
   
 5. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ungeandika yaliyotokea Tunduma post isingesomwa?wewe bwana
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa nini hajawandondoshea noti hao polisi waliomkamata ili nao awageuze ng'ombe?
   
 7. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Sawa nimekusikia mkuu ila kuna kitu umeropoka!
   
Loading...