Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,462
- 21,334
Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini.
Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetani.
Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari.
Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo.