Yaliyotokea juzi msibani ni ya kutisha. Sina hamu

Mshanaa alifunga SIMU mkuu
Else NILITAKA ajekumrudishaa
Nilitafta sana namba ya gwajma nkakosa
Mmefanya makosa makubwa sana kuuzika mwili ungemuita mchungaji aje auombee mwili au mngempigia simu Mshana jr tungempata mtoto fasta
 
Mkuuu NILISHTUKA SANA
walinikumbushaa miaka KUMI iliopita nilikuwa na ka GFRIEND tukaachana akapata MTU sasa sijajua ALIKUWA mumewàmtu ama LAH mke akamnyoosha
Alipofika.kwenda kuzika dah
NDUGU wanne wanalia kaburini jamani mnazika mgombaaaa mwingine anasemaa mdogoowangu unatesekaaa hivii umekosea wapii tunazika mgomba
Aisee usisikie kwa watu
Mkuu juzi juzi toka tarehe ile ya Simba na yanga , Niko msasani maandazi road nimekaa sehemu ilikua SAA mbili hv usiku , ..ghafla alikuja kijana analalamika mkono na mguu vina poteza nguvu

Kuna jamaa akasema km utani tu, Ah huyu tayari kapigwa kitu ,anawambia ndugu wa yule kijana

Akaitwa sheikh na mganga wakamsomea ,muda wote huo mm nipo natazama , yule mganga na sheikh wakasema huyu asiende hospital ataazidiwe vipi aachwe hapo home , ile familia kwa ubishi wao wakamkimbiza Mount Ukombozi kitendo tu cha kufika na kuchomwa sindano kijana aliiaga dunia

Hii kiti ilinitisha kweli kweli, Dogo tukamzika kwa kondo kule

Familia ikaanza kujilaumu kwann walimpeleka hospital wkt waliambiwa kapigwa kitu
 
Mshanaa alifunga SIMU mkuu
Else NILITAKA ajekumrudishaa
Nilitafta sana namba ya gwajma nkakosa
Gwajima atawaibia huwa afanye maombi hvhv without pay Mshara upo humu all time mngemchek ata PM ange reply maana kiboko ya wanga na mashetan
 
Hakuna lolote hapo ila ni mission accomplished. Huyo mtu mmoja aliyetajwa na huyo aliyejifanya kupandisha mashetani ndiye aliyedhamiriwa kufitinishwa na ndugu zake ili aonekane kwamba ndiye aliyemwangia marehemu na kupelekea kifo chake au kuchukuliwa msukule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom