Yaliyotokea juzi msibani ni ya kutisha. Sina hamu

Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini.

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetani.

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari.

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo.
Hivi shetani ana wadogo zake? Maana kwa mujibu wa kitabu kitakatifu "BIBLIA" shetani mmoja tu, na ana-reside huko kuzimu.

Sasa huyo dada alipandisha mashetani yapi?
Yametoma wapi, au shetty anaduplicate copies??
 
Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini.

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetani.

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari.

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo.
Mmefanya makosa makubwa sana kuuzika mwili ungemuita mchungaji aje auombee mwili au mngempigia simu Mshana jr tungempata mtoto fasta
 
Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini.

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetani.

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari.

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo.
Pdidy achana na na mambo hayo nakumbuka mwanangu aliteseka kwakua nilifanya siamini upande wa pili ila nilvyo pelekwa na mchizi mpaka leo Miaka 14 anadunda waswahili sio watu
 
Mkuuu NILISHTUKA SANA
walinikumbushaa miaka KUMI iliopita nilikuwa na ka GFRIEND tukaachana akapata MTU sasa sijajua ALIKUWA mumewàmtu ama LAH mke akamnyoosha
Alipofika.kwenda kuzika dah
NDUGU wanne wanalia kaburini jamani mnazika mgombaaaa mwingine anasemaa mdogoowangu unatesekaaa hivii umekosea wapii tunazika mgomba
Aisee usisikie kwa watu
Pdidy achana na na mambo hayo nakumbuka mwanangu aliteseka kwakua nilifanya siamini upande wa pili ila nilvyo pelekwa na mchizi mpaka leo Miaka 14 anadunda waswahili sio watu
 
Pdidy achana na na mambo hayo nakumbuka mwanangu aliteseka kwakua nilifanya siamini upande wa pili ila nilvyo pelekwa na mchizi mpaka leo Miaka 14 anadunda waswahili sio watu

Ungeschelrwaa wangekunyoosha mkuu
Pole sanaa na Hahaa ma kvant sijui image sijui konyagi kupataa shahawa za MTOTO ungebaki kuchezea midolii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom