Yaliyotokea juzi msibani ni ya kutisha. Sina hamu

Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetanii

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo
Nikajua msiba wa mkapa
 
Hiyo ni "sudden infant death" (SID). Hakuna cha mashetani. Huyo wangempiga viboko tu kwa kujifanya kuwa ana mashetani.
Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetanii

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo
 
Tegeta ukipanda juu kama unaenda Wazo kulia kuna flats zilikuwa za NHC nahisi wameziuza now. Nilipokea msiba wa mtoto mdogo aliefariki usingizini.

Bahati nilijuana na ndugu yake mmoja ikaniuma sana. Wazazi salini sana na watoto wenu shetàni anapità kila kona. Juzi siku ya maziko alitokea mdada mmoja ndugu yao sikujua kwa mwanaume ama mke alipandisha mashetani.

Yale mashetani yalianza kutaja mtoto wenu tumemchukua sisi bahati akawahi kutajà jinà moja. Shangazie wakamwahi kumfunga mdomo huku wananchii wakiomba aachiwe ndugu wakamchukua faster kwenye gari.

Atukujua alipoelekea hata mazikoni (makaburini) hakuwepo.
Mbona ni kijana 26yrs au kuna mtoto mwingine basi kama ni hivyo balaa sasa!

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom