Yaliyotokea jana usiku mabibo hostels yanasikitisha sana!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Jana usiku hapa mabibo hostels, zilipgwa yowe za mwiziii,yowe hzo zlitokea block A, ambalo kwa kawaida ni block linalokaliwa na wasichana, basi sis wanafunzi tulivosikia hzo kelele tukatoka fasta na kuja kuangalia ni nini kimetokea, tukakuta ni mkaka wa watu kapigwa sana {sijui kama bado yuko hai au kafa} sasa leo ukwel umejulikana, huyo kaka alikuwa ana promise ya kukutana na gal flani hapo hostel, yule gal akaona ampotezee kwa kumsingizia mkaka wa watu mwizi!

Wanawake nyie jaman, hebu kuweni na huruma, yani pesa ya watu mtu kala na bado anamsingzia mwizi.
 
Kumbe huu mchezo huo bado upo, nakumbuka tuliwafungia wasichana baada ya kumfanyia mwenzetu vituko vya hivyo
 
Inatakiwa huyo demu atupwe lock up aisaidie polisi na iwe fundisho kwa wengine
 
Ilitokea IFM na jamaa alikuwa mme wa mtu, alifariki dunia.
wasichana wa zama hizi, wanatia kichefuchefu
 
Alifata k ya bure nn?....angekufa,wanaume nanyi mbadilike k za mafungu zitawatokea puani, mzabzab hebu njoo uwape somo madogo

sijui alikuwa kaenda kukopa......mpaka aitwe mwizi kuna namna....pole yake weeeeeeee.........
 
UDSM inaongoza kwa wasichana wapolipoli, jamani achaneni na wasichana wa vijijini, nendeni IFM na CBE kwa watoto wa town
Jana usiku hapa mabibo hostels,zilipgwa yowe za mwiziii,yowe hzo zlitokea block A,ambalo kwa kawaida ni block linalokaliwa na wasichana,basi sis wanafunz tulivosikia hzo kelele tukatoka fasta na kuja kuangalia ni nin kimetokea,tukakuta ni mkaka wa watu kapigwa sana{sijui kama bado yuko hai au kafa}sasa leo ukwel umejulikana,huyo kaka alikua anapromic ya kukutana na gal flani hapo hostel,yule gal akaona ampotezee kwa kumsingizia mkaka wa watu mwizi!wanawake nyie jaman,ebu kuwen na huruma,yani pesa ya watu mtu kala na bado anamsingzia mwizi.
 
mi huwa nashindwa kuelewa kwa nini umng'ang'anie mtu.......hivi duniani kuna wanaume wangapi.....au wanawake wangapi....chaaaaaa.....tupa kule........

Preta dungu yangu haya mambo siyo marahisi kama unavyoyasema hapa.
 
Alifata k ya bure nn?....angekufa,wanaume nanyi mbadilike k za mafungu zitawatokea puani, mzabzab hebu njoo uwape somo madogo

Siyo ya bure bali anataka K zilizoenda shule..huwa nawaskia vijana wa mtaani huku kwetu Mabibo..oohh..ninademu mkali sn yupo chuo na anaishi mabibo Hostel..ni prestige kwao kuwa na demu wa chuo siyo..mmhh..wangejua jinsi zilivyotumika hizo za chuo..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom