Mukuu123
JF-Expert Member
- May 7, 2019
- 319
- 1,221
Habari ndugu zangu,
Yani leo hii nimeachwa apeche alolo kwa utaratibu wa kufuatilia loss report baada ya kupata mafuriko na kuondokewa na baadhi ya vitu vyangu muhimu, so nikajikaza na kasema niende kituoni sasa kufika pale naambiwa niende stationery ya karibu na pale kituoni.
Akili yangu nikajua itakuwa copy tu ya Tsh 100 Au 200 naambiwa eti nitoe 2500, aiseee ghafla nikaishiwa nguvu na kuzimia, ile kuzinduka najikuta niko hospitali na nurses akanambia mitano tena.
Hivi wadau ndio utaratibu huu kweli?