Yaliyomsibu kaka yangu

Kaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.

Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.

Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.

Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.

Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
FREE BOATS HAVE THE PRICE AT THE SHORE, MUNGU YU MWEMA, SOMETIMES ONE MUST BE WATCHFUL FOR HIS ENTIRE LIFE B4 GIVING IT TO OTHER PERSON.
 
....nawaza tu..watu waogopa UKIMWI kuliko Kifo,mtu yupo tayari kizina na maiti kuliko muuthirika wa ukimwi hii dunia aiseeee..
 
Unyanyapaa mtupu, kama anatumia dawa hana tatizo lolote
Watu wengi hawajui hili suala, mtu anayetumia dawa anakuwa hana uwezo wa kumuambukiza mtu mwingine virusi, ndio maana sikuhizi mtu akigundulika ni HIV+ anaanzishiwa dozi papohapo Lego ni kupunguza maambukizi, ikiwa waathirika wote wata anzishiwa dawa wanapogundulika tu ni HIV+ by 2030 HIV habari yake itakuwa imeisha,,
 
Oooh hapo sawa. Tunapaswa kuwa makini sio mitandaoni tu bali hata huku mitaani maana tuliopo humu ndio hao hao tuliopo mitaani.
Taabu inakuja sasa eti watumia dawa hata akipimwa inaonyesha negative
Hapo ndio shughuli jamani, tutapona kweli.
mtu akitumia dawa vile inavyotakiwa ndani ya miezi mitatu mpaka sita.....hata usex nae vip,hata usimamie kucha never kukuambukiza cha maana atumie dawa vizuri tu! ....Dawa za sikuhizi ndo zilivyo usishangae
 
mtu akitumia dawa vile inavyotakiwa ndani ya miezi mitatu mpaka sita.....hata usex nae vip,hata usimamie kucha never kukuambukiza cha maana atumie dawa vizuri tu! ....Dawa za sikuhizi ndo zilivyo usishangae

Kwahiyo jata patokee michubuko haambukizi?
 
Umaingia kwenye deep relationship na mtu hamjapimana Virus? Shwetan kabisa huyo kaka yako. YAANI maisha yalivyo delicate unachezea sharubu ya simba? Bora angeulamba ukimwi kabisa ili iwe fundisho.
 
Hahaha kuna watu wana vichwa vya kuku aisee.

Hatari faya,,unayemwamini ndo anaekuua
Kuna mbaba alizira kutumia Arvs
kisa mke wake ndo kamletea gonjwa
mwanamke akawa anasema mwacheni afe
Kweli tulishazika
mke wake bado yupo anaendelea kueneza gonjwa kwa wanazengo wanaohitaji
walevi wanamgegeda balaa
hata hawaogopi
akipata nyegezi tu anaanza kuwaita wanaume njooni njooni tayari



Hii ndo Dunia


'Gear yourself to solutions in every problem'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom