Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,808
- 7,155
Mkuu hebu subiri kwanza, kwahiyo hata akipimwa ataonekana negative?
Ataonekana positive
Mkuu hebu subiri kwanza, kwahiyo hata akipimwa ataonekana negative?
Aah kama angekua kapenda hyo kaka yako hakukua na sababu ya kukatisha mapenzKaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.
Humu JF kaka alimpata mdada mmoja. Very independent woman, Ana career, nyumba na maisha yake kwa kweli. Hajawahi kuolewa na kwake mabinti wa kaka haikua shida.
Wameanza dating, kwa miezi sita, kumbe dada ni muathirika na yuko kwenye dawa pendwa. Wakiwa pamoja alimlia timing kaka akiwa msalani mdada anabugia vidonge.
Kaka alishtukia hilo, sikumoja wakiwa Bagamoyo weekend, kaka alijifanya anakwenda msalani, alijiegesha kwenye mlango wa choo, ile dada anafungua handbag na kuchukua dawa jamaa amejaa.
Mahusiano yaliishia hapo. Kaka alijicheck yuko poa. Alimshukuru Mungu maisha yakaendelea.
Hatari faya,,unayemwamini ndo anaekuuaAbarikiwe dada yako, mkataa pema pabaya panamuita.
Hebu msituchanganye.Ataonekana positive
Unajichanganya Mwenyewe....Hebu msituchanganye.
Naomba nibaki na nililolielewa.Unajichanganya Mwenyewe....
Mdau kazungumzia viral load, wewe unazungumzia habari ya kupima km unao au hauna
OkNaomba nibaki na nililolielewa.
labda alikuwa anasafiri kwenye salt sea.
Unyanyapaa mtupu, kama anatumia dawa hana tatizo loloteNasikia anaetumia dawa hana tatizo. Mwambie kaka yako aache unyanyapaa
Naomba nibaki na nililolielewa.
Watu hawa wapo na wamewaumiza wengiKaka yangu hajaoa ingawa alikuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu yaliyompatia watoto wawili wakike. Yeye na girls mother waliachana dada yule alipata mtu na kufunga nae ndoa ya kanisani. Imefika wakati kaka alianza kutafuta.