YALIYOMPATA mwenzetu BUJIBUJI NA MIJIMAMA YAKE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

YALIYOMPATA mwenzetu BUJIBUJI NA MIJIMAMA YAKE.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Oct 5, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  Bujibuji kapeleka kulitambuliosha kwao li jimama lililomzidi miaka mitano.
  Jimama lina mtoto mmoja, bujibuji hana mtoto wa kusingiziwa.
  Ndugu wamemkataa kata kata jimama hilo, lakini mwenzetu bujibuji anadai kwamba roho yake hapo imefika, na huyo jimama wanaendana tabia zao zote.
  Binafsi nimemwambia bujibuji ashikilie uzi huohuo ilhali wanapendana kwa dhati.
  Umri wa weanandoa si kipimo cha ndoa kudumu muda mrefu.
  Nyie wenzangu mnamshaurije huyu kaka yetu?
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  dogo......utachezea koki sasa hivi
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  aendelee tu na jimama lake kinachomata ni mapenzi yao ya kweli
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  HUYO NDIYO MKE MWEMA WAZAZI HAWATAKIWI KUWA NA UAMUZI MKUBWA KATIAKA HILO WAO WAMPATIE MALI AKAISHI NA MWENZIE.  House and riches are the inheritance of fathers: and a prudent wife is
  from the LORD. - Proverbs 19:14
   
 5. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  Ifike mahali tubadilike jamani mwanamke kukuzidi umri si kikwazo cha mapenzi maana kuna wanaume wengine walivyo inabidi wawe na mahusiano na wanawake waliowazidi umri ili waweze kuwaongoza vyema
   
 6. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongera Bujibuji. Kweli wewe umedata. Limama limekufundisha kazi na ukanogewa na unataka kufanya kweli. Mhhhhhhhhh ngoja nipumue kwanza. Ebo najua huyo atakuwa Miss bantu wa Uhakika.
   
 7. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongera Bujibuji. Kweli wewe umedata. Limama limekufundisha kazi na ukanogewa na unataka kufanya kweli. Mhhhhhhhhh ngoja nipumue kwanza. Bila shaka litakuwa lijimama la nguvu yaani Miss Bantu wa uhakika.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,433
  Trophy Points: 280
  kama amenizidi si atakuwa ananipa hata kichapo? Heheh! Bora nioa kadogodogo kuliko lidude hiloo na mchina juu.
   
 9. Djunior

  Djunior Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Namshauri kinachomata ktk ndoa ni masikilizana na kuheshimiana, umri sio kipimo cha mapenzi. Waendelee lakini kabla ya mahusiano. WAKAPIME.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  Kwanini mfikie KUCHAPANA?
  Siku hizi hata wanawake wa kikurya hawataki kupigwa, wanataka maongezi ya amani.
   
 11. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  TOOOOOOUUUUUCHHHHH! dadadadadadeki!!!!!!
   
 12. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  muhimu maelewano,age aint nothing
   
 13. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  jamani hivi hizi stori zina ukweli wowote
   
 14. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #14
  May 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kumzidi umri na kuwa na mtoto hii si hoja, wangapi wameoa wasichana wabichi, only to realise they are not happy in their marriage, nadharia ya maisha ya ndoa ni pana sana and sometimes you need to compromise some of the thing, bujibuji if you are sure this is what you want, go for it , why not....
   
 15. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #15
  May 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  labda a more mature woman anamfaa mdau so kwake hapo ndo perfect match. nyie wengine itabidi muwakubali tu, japo mna reservations zenu lakinimaish ni yao
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kama hii story ni ya kweli
  basi kila la kheri Bujibuji
  hongera kwa kumpat a mwenza..
   
 17. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Duh! Yan kama movie fulan vile, Bujibuji kimzaa atavuta jiko pale teh!
   
 18. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha hahaaaaaaa!!! kaka ni kweli?
   
 19. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #19
  May 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,050
  Trophy Points: 280
  jamani kina chakubanga mbona mnanisakana hivyooooooo?????
   
 20. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #20
  May 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mkuu mwaga minyuziiii tuje kula beche!!Haujaamia Honolulu??
   
Loading...