Yaliyomkuta Stamina, Mabeste na Ally Kiba ni bora kuliko yaliyomkuta Davido

hata babu yangu alichapiwa na rafikie yake mwarabu na aligundua baada yakuzaliwa mtoto mwarabu bt alikausha, haya mambo yapo tu enzi na enzi na yataendelea kuwepo
 
Mtoa post ukuelewa situation ipo ivi uyo dogo anaitwa Peruzzi ndio alikuwa anamtungia ngoma davido ngoma kama fia dogo ndio katunga.uyu demu was davido(chioma) alikuwa n demu wa Peruzzi kitambo baada ya Peruzzi kuwa karibu na davido chioma akaona dili.kwaiyo chioma n Peruzzi wakamdanganya davido kuwa ni ndugu yni ni cousin wake davido akamua kukaa n kuwa mkewe bila kutambua kama ni x wa msanii wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika watu mna data balaa..safi sana
 
Mambo ya kuwamegea washkaji mi siwezi kabisa. Yaani mademu wote hawa, dah acheni hizo wazee.
 
Kama Zari alivyogongwa na yule stylist wa Domo ana minjino jina nimemsahau
 
Naona Davido ana deserve yaliomkuta. Kazalisha wanawake wengi lakini he used to act kama chioma ana pussy tamu kama biriani. Hizo show off mitandaoni alizokua anafanya as if hao wanawake wengine ni takataka. Akamuimbia chioma nyimbo ya "assurance" . Kama jamaa kachapiwa it's all well and good

Tuttyfruity na wenzko mnaojua sana mapenzi ya watu unajisikiaje sa iv kuhusu Davido na chioma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dojonase,
Peruzzi yeye ni PIMP( muuza makahaba) na Chioma alikia miongoni mwa makahaba wanaouzwa na Peruzzi ila jamaa alikua anamtafuna huyo Chioma..ikatokea nafasi akalengeshwa Davido ila Chioma akadanganya kwamba Pereuzzi ni Cousin wake..inabidi uwe makini sana na hawa macousin cousin

Kumbe chioma sio mpenzi wake toka utoto
Yule mrembo akipaka makeup asipopaka mwee ila ndio bahati pussy imemvutia davido

Sent using Jamii Forums mobile app
 
herman joshua, Mambo ya kawaida tu, wanawake watabaki kuwa wanawake, kugonga mke wa mtu au kugongewa, ni jambo la kawaida tu, uswahili tunagonga na tunagongewa, ushuani vilevile, makanisani, mchungaji anagonga wake wa waumini wake,

Serikalini, hata waziri au raisi anagongewa, kumbuka, Winnie Mandela, je Monica Lewinsky na Clinton,
Tatizo vijana wa siku hizi mmekuwa wanaume jinsia tu, mkeo akishikwa msambwanda, unajinyonga,
Akigongwa, piga chini, tafuta mwingine ugonge,

King David, aligonga mke wa kamanda wake, wakati kamanda akiwa vitani, aliponogewa, akamuua na kamanda!

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hebu tuelezee kidogo kuhusu winnie mandela
 
indeed
 
Kwanza Nani aliagiza ukioa au kuolewa ndio usisex na wengine. Hapo Tunahitaji danganya na kujipa stress za buree. Kugonga na kugongewa hata kwenye agano la kale ipo. Tukubali tu mifumo. Unaoa au kuolewa na mtu ana meno 32 bikra hana anajua styles zote. Nyoooooo
hahahaha... woyooooooo
 
dojonase,
Peruzzi yeye ni PIMP( muuza makahaba) na Chioma alikia miongoni mwa makahaba wanaouzwa na Peruzzi ila jamaa alikua anamtafuna huyo Chioma..ikatokea nafasi akalengeshwa Davido ila Chioma akadanganya kwamba Pereuzzi ni Cousin wake..inabidi uwe makini sana na hawa macousin cousin
ma PIMP ..hawajawahi kumuacha mtu salama
 
Davido sang to Chioma these words....
Screenshot_20200503-074334.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Davido ana deserve yaliomkuta. Kazalisha wanawake wengi lakini he used to act kama chioma ana pussy tamu kama biriani. Hizo show off mitandaoni alizokua anafanya as if hao wanawake wengine ni takataka. Akamuimbia chioma nyimbo ya "assurance" . Kama jamaa kachapiwa it's all well and good

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee afadhali
Kweli muosha huoshwaa

last time i checked Chioma was pregnant na sikuwaza yani it was obvii Davido was the baby daddy..dahh ChefChi kampiga tukio hatosahau maisha..na dada kajua kupretend dadekii 🙌🏽

Ila he deserves it kwa kweli sio kwa kuzalisha watu vibaya ovyo kiasi kile
 
Back
Top Bottom