Yaliyojiri ziara ya Mbunge Mwigulu Nchemba jimboni Iramba Magharibi

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Mheshimiwa mbunge Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi amefanya ziara ktk kata ya kisiriri na Kidaru.

Amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuahidi mingine mingi inakuja.
Mfano umeme, maji, barabara za uhakika na mingine mingi ya kijamii. Kesho ataendelea na ziara ktk maeneo mengine.

Baadhi ya wafuasi wa chadema wamerudisha kadi na kujiunga CCM.
Pia mbunge amewaambia wanairamba magharibi wajiandae kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na waipe CCM ushindi mnono.
 
Jamaa anapiga kazi sijui kwanini watanzania baadhi hawampendi Mwigullu? au ni kwasababu ni kichwa sana? ni maoni yangu tu, kuwa katika vijana wana siasa wanaoweza kazi ni jamaa huyu, ila propaganda anazidisha
 
Yaani mbunge yupo tu hapa Tanzania alafu anamaliza miaka miwili bila kutembelea jimbo lake then wewe unamwita Mbunge chapakazi. Maajabu ya dunia haya.
 
Mheshimiwa mbunge Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi amefanya ziara ktk kata ya kisiriri na Kidaru.

Amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuahidi mingine mingi inakuja.
Mfano umeme, maji, barabara za uhakika na mingine mingi ya kijamii. Kesho ataendelea na ziara ktk maeneo mengine.

Baadhi ya wafuasi wa chadema wamerudisha kadi na kujiunga CCM.
Pia mbunge amewaambia wanairamba magharibi wajiandae kwa uchaguzi wa serikali za mitaa na waipe CCM ushindi mnono.
Zile baiskeli 100 anazodaiwa pale Singida mjini amezilipa ?!. Mwambie alipe watu bhuaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom