Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Nchi ilipokuwa haina ndege tuliponda
Wamenunua tunaponda

Ova
alikuwa na agenda ya siri ndani yake ajenge Badolitte chato!! mbona matanzania mko majuha ivo???

Midege haiendi popote inauza mkaa tena mibovu kapigwa changa la macho mafundi wako wapi???

Ndege alinunua mzanaki bana weee!! Tena na yake binafsi kapewa bureeeee!!! Wanafunzi rhuksa kutumia na wenye shida popote ilipotua panda tena bureeeeee!! Ohooo!! Nyerere weee!! Lala salamaaaa.
 
Hata hivyo wenzetu kule wamestaarabika zaidi, na niwaelewa wanapopewa maelekezo. Angalia jinsi walivyojipanga kiustaarabu. Ingekuwa Dar ungekuta machuma yamesukumwa huko, wengine wanarukaruka, wengine wanakimbia tu uwanjani na wengine kuwachokoza Polisi.
Zanzibar ukweli tuwape heko wana nidhamu ya hali ya juu na ustaarabu mkubwa misibani nadhani dini ya kiislamu ya kuheshimu marehemu inachangia hulu.kwetu akina Lisu kutukana maiti kitu kidogo tu

Ndio maana hakuna tamko baya lolote limetoka upinzani Zanzibar kumsema vibaya Dr Magufuli watamka hovyo ni upinzani wa bara.Zanzibar wapinzani wameenda kuaga bara hawajakanyaga!!!
 
Zanzibar ukweli tuwape heko wana nidhamu ya hali ya juu na ustaarabu mkubwa misibani nadhani dini ya kiislamu ya kuheshimu marehemu inachangia hulu.kwetu akina Lisu kutukana maiti kitu kidogo tu...
ccm ilivowaua vile tangu enzi za nkapa wee! Wana uchungu sana wanasemaga "ntukauage kafir yakheee!! Kesha kuwa nyama la udongo yulee!! Ammy nletee nsuli wangu atiiii!! Nkaage nione km kweliii"
 
Kwa jua la Tanzania hivi kweli mwili huu uko salama au umeshindiliwa mashindano kuchelewesha kuharibika? Wengine tunakumbuka mwili wa nyerere ulipowekwa uwanjani kabla ya maziko!
 
Kwa jua la Tanzania hivi kweli mwili huu uko salama au umeshindiliwa mashindano kuchelewesha kuharibika? Wengine tunakumbuka mwili wa nyerere ulipowekwa uwanjani kabla ya maziko!
Wewe hujui kenyatta hadi leo mwili wake ukienda unauona hadungwi midindano wala nini .Teknlojia zimebadilika unaishi kizamani
 
Ndugu zangu, niko hapa naangalia Azam TV na Wazanzibari wakimuaga Mwendazake JPM. Kwa jinsi zoezi linavyoendelea, ni wazi kwamba wameshikwa na simansi sana kama watuwa DAR, Dodoma na sehemu nyingine. Ni wakati muafaka sasa tuwe kitu kimoja zaidi (zaidi ya tulivyo sasa) kwa kuunganishwa zaidi na ndugu zetu wa visiwani...

Ni muhimu sasa Zanzibar na Bara waanzishe Tunel/ Handaki,/underground itakayo unganisha Zanzibar na bara. Hii tunnel/ underground yaweza kuanzia Bagamoyo hadi huko Unguja. Msiba huu wa JPM umeonesha ni jinsi gani tulivyo wamoja na ni haki viongozi wetu sasa wa pande zote mbili hizi za Muungano walitambue hilo. Wasitugawe kwa tofauti zetu za kisiasa... Tuuimarishe Muungano wetu na watu wetu kwa ujumla wake...

Sasa ni Wakati muafaka wa kumuenzi mzee wa Ujenzi wa miundo mbinu (JPM), na sasa serikali ije na mpango kazi wa kuinganisha Tanzania bara na visiwani kwa handaki kama la euro tunnel.
Itasaidia sana kutuunganisha na uchumi wa Tanzania kwa ujumla wake.

Ruksa kutoa povu bila mkwaruzo...Mchwa, Nguchiro ndani ya kichuguu bila mkwaruzo.
Declaration of interest... mimi ni muumini wa umoja na sio utengano. Msinishambulie kwa maoni yangu...
 
Zanzibar wameaga kwa utaratibu mzuri Kabsa ni mfano wa kuigwa.Rais wetu Mungu akurehemu na upumzike Salama Baba.Safiri salama
 
Amini maneno yangu kamwe sifi km mbwa. Nitakufa nikiwa nimejaa umri na tabasamu tele bila kusahau kutubu kwa Mungu wangu ninae mjua sana.

mungu wako najiwe ni makatili.siyo kwa mateso haya ya covid km hivo. Anakufa kwa kujificha???
utakufa weye km jibwa mie never Ever think again. Yesu wangu alipo ndipo nitakapo kaa. Mkono wa kuume.

Sisi wengine tumeshushwa kutembea humu !!! angalia vizuri ni mimi huyo nakubalika kote humu Duniani. Kwa viumbe wa Mungu tu.

Siyo kwa viumbe km wewe na jiwe kamwe hamtanikubali mtanichukia km mlivo mchukia Yesu wa Nazarethi.hiyo..
Hainipi shida nakuapia. zaidi mnanifanya nijue am real heavenly citizen.

Una lingine babu wa kuzimu???.....na bado utamfuata tuuuuu soon"""""""
Nilikujibu vile baada ya kusema kwamba Magufuli kafa kwasababu alikuwa katili.Nilitaka ujue kwamba uwe katili au usiwe katili kufa utakufa tu,na amini kwamba Kila mmoja atawatangulia kufa watu fulani,muhimu ni kuomba na kuisubiri zamu yako kwa hekima sio kuropoka maneno kama vile umekuja kukaa milele hapa duniani. Acha kufurahia kifo cha mwenzako.

NAOMBA NIKUONGEZEE KITU HAPO CHINI juu ya huu comment yako niliyoiquote.

Mimi nakukumbusha tu kuwa, sio kila anaekufa mapema basi sio mcha Mungu. Ingekuwa ni kumcha Mungu ni kigezo cha kutokufa basi wote wangemcha. Ila maisha ni tofauti sana anakufa mcha Mungu anabaki jambazi, malaya, mwizi, muuwaji au kinyume chake.Hakuna anaechagua kufa akiwa na tabasamu,buheri wa afya au laah.Swala la kujihakikishia kwamba utapata muda wa kutubu nalo naona ni utani tu, maana kifo hakijawahi kutoa taarifa.

Kuwahiyo hata uandike nini kufa tutakufa tu, na naona sikuizi mmejisahau sana mnaiwaza Corona tu, wakati kifo kikifika kinachukua hata kama ni mzima wa afya tele.

Kama nimeandikiwa kufa very soon kama inavyosema, naiwe hivyo. Ila kinachonipa faraja ni kwamba siku moja ni hakika 100% wote tutakuwa tumemezwa na ardhi.
 
Acha mbwembwe zako, ungekuwa heavenly citizen kama unavyojifaragua humu jF, usingekuwa na ujasiri wa kusherekea binadamu mwenzako anapokufa wakati safairi ni ileile.
 
Wana CCM akili hamna. Kwa hiyo kwenu ni ufahari kumzungusha marehemu kwa zaidi ya wiki mitaani? Tafadhali mhifadhini kuheshimu utu wa mtu hata kama siyo mzima. Mtu ana hadhi yake, siyo kuzungusha mwili wake ardhini na angani karibu wiki mbili nzima. Mnawaumiza ndugu na watoto wake na yule mama yake aliyepo kitandani anaumwa.

Mizunguko yote hiyo ya nini? Zikeni Janeth apumue jamani. Hamna hata huruma nyie watu. Mnatafuta umaarufu wa chama chenu au wa nini?
Hujui kitu wewe....CCM inahusika vipi hapo? Umma wa Watanzania ndio unaotaka kumuaga mpendwa wao...wewe na wenzako subirini kumuaga Amsterdam na yule mwingine ambaye siwezi kumtaja jina hapa..
 
Hata hivyo wenzetu kule wamestaarabika zaidi, na niwaelewa wanapopewa maelekezo. Angalia jinsi walivyojipanga kiustaarabu. Ingekuwa Dar ungekuta machuma yamesukumwa huko, wengine wanarukaruka, wengine wanakimbia tu uwanjani na wengine kuwachokoza Polisi.
😂😂Pamoja na kwamba tuko kwenye msiba wa kitaifa imenibidi nicheke kwa maelezo yako
 
Nilikujibu vile baada ya kusema kwamba Magufuli kafa kwasababu alikuwa katili.Nilitaka ujue kwamba uwe katili au usiwe katili kufa utakufa tu,na amini kwamba Kila mmoja atawatangulia kufa watu fulani,muhimu ni kuomba na kuisubiri zamu yako kwa hekima sio kuropoka maneno kama vile umekuja kukaa milele hapa duniani. Acha kufurahia kifo cha mwenzako.

NAOMBA NIKUONGEZEE KITU HAPO CHINI juu ya huu comment yako niliyoiquote.

Mimi nakukumbusha tu kuwa, sio kila anaekufa mapema basi sio mcha Mungu. Ingekuwa ni kumcha Mungu ni kigezo cha kutokufa basi wote wangemcha. Ila maisha ni tofauti sana anakufa mcha Mungu anabaki jambazi, malaya, mwizi, muuwaji au kinyume chake.Hakuna anaechagua kufa akiwa na tabasamu,buheri wa afya au laah.Swala la kujihakikishia kwamba utapata muda wa kutubu nalo naona ni utani tu, maana kifo hakijawahi kutoa taarifa.

Kuwahiyo hata uandike nini kufa tutakufa tu, na naona sikuizi mmejisahau sana mnaiwaza Corona tu, wakati kifo kikifika kinachukua hata kama ni mzima wa afya tele.

Kama nimeandikiwa kufa very soon kama inavyosema, naiwe hivyo. Ila kinachonipa faraja ni kwamba siku moja ni hakika 100% wote tutakuwa tumemezwa na ardhi.
Hujanielewa!! Narudia tena Mungu wa kweli hakuumba mtu afe mapema bila kutimiza kusudio lake. Km yupo kwako Siyo Mungu ninae mjua mimi huyo.

Sidanganyiki.vifo vya mapema binadamu huaishwa tu na watu wenye husda na ni wengi humu Duniani km wewe ulivotaka kunifanya nimekupinga kwa damu ya Yesu na imekuwa...umekwama na utakwama vibaya..Yesu ni wangu!!

Kila mwanadamu hapa Duniani ameumbwa kwa kusudio maalum.unaoona wanakufa mapema bila kushiba umri wanawaishwa na vibaraka wa shetani.

Km huyu shetani alimshawishi aue wapinzani wake akamsikiliza ndo haya sasa yametokea!! Angejawa na roho mtakatifu asingethubutu!!

Nyerere angemuua kambona kirahisi tu! Lkn rohi wa Mungu alimjaa.akaacha akimbie bila kuguswa!!

Father thom alitaka kumuua Nyerere. Akashindwa vibaya.huyohuyo nyerere wa upendo akantoroshea UK kiubweteeee!!

na siyo kila anae sali ana Mungu wa kweli!! big nooo!! Yaliyo nyuma ya pazia hujui kwa huyo huyajui!! Hata mchawi anasali.hata jambazi anasali kabla ya kuvunja lkn asiue na anafanikiwa kuiba.

Maliam Magdalena alikuwa cD hatari lkn alikuwa mpendwa wa Yesu na wa kwanza kumuona Yesu ktk ufufuo kwa nini?? Mpaka Mungu akupe hii siri...

Mtu Una kashfu watu wa Mungu waishi km mashetani?? Kweli?? Wamekukosea nini??? Hkn roho waMungu hapo!!!

Pambana na mijabari mibeberu huko siyo vitu vidogovidogo hivi maskini eti machinga?? Mwee!

Mungu hadhihakiwi!!! alikosa hekima rahisi sana. Kikwete alikula na wapinzani meza moja ikulu!! Huyo hapo afya buheri!!

Mungu ana wapinzani wake yaani shetani na wenzake anaweza kuwafinya tu!! Wakapotea lkn anawavumilia wapo. Sasa yeye ni nani kumpita Mungu???

Kwanza ilikuwa rahisi tu abgesurugishwa na hao alio taka kuwaua km nyoka yakaisha awamu ya mwisho hii. Akaw salama!! Tena akaenda mbali zaidi eti atawale milele!!

Humo ndani akaondoa wenye roho mtakatifu akajaza vishetani.havi kumshauri kutubu kabla ya kifo!!
Ajili ya matendo yake!!

Angalia Nyerere aliombewa alipoondoka hapa. mpaka kaburini ni sala na alipata mda wa kutubu!!

lkn huyu ni ghafla bin vuuuu!! Kafa!! Wapiga kura wake fake waldaanganywa sana mara yuko Ikulu anafanya kazi zake! Mara sijui mama weee!! Huoni ni tatizo au shetani amekufunga akili na macho....

Alitumbua sana hovyo hovyo! Tuu! wengine wakafia jela huko!!
akaacha wenye maono na neeema akajaza vishetani ambavyo havina Mungu. Wachache wakafanya kazi kwa hofu!!sasa hofu mpaka lini??

Wenye akili zao wakasepa kijanja!! Hata Makonda alisepa kijanja!! Alimbeba mno tena wazi wazi mpaka kijana kaogopa yule...
Hata aieleweki vibaraka mara viseme kafa kwa Atrial fibrillation!! Mara covid yaani vurugu tupu!!

Nyerere alijua kifo hichooo!! akatubu hadharani akatuombea wa Tz wote. Unaona!! Alivo kuwa mtu wa watu??? Ohooo! Nyerere weee! Mungu msamehe!!
 
Acha mbwembwe zako, ungekuwa heavenly citizen kama unavyojifaragua humu jF, usingekuwa na ujasiri wa kusherekea binadamu mwenzako anapokufa wakati safairi ni ileile.
Natoa neno la ufafanuzi wewe ili msirudie tena jutenda somo kushabikia Herode! Yesu alibaki salama hakuguswa mpaka akatimiza kusudio lake lkn yeye herode alipotea !

usikurupuke! Kujibu hoja!! Na akili za kuzimu huwezi kupata hekima hizi za ki Mungu popote pale!!...uliza!!

Kumbe wewe unaona nasherekea km wewe ulivo sherekea Tundu Lisu??? Ndo akili zenu hizi kumbe loool!
 
Acha mbwembwe zako, ungekuwa heavenly citizen kama unavyojifaragua humu jF, usingekuwa na ujasiri wa kusherekea binadamu mwenzako anapokufa wakati safairi ni ileile.
hivi unajua maana ya sherehe??? Au umekusudia kuropoka tu!!!

Ningesherehekea usinge vumilia. Mimi natoa neno la utambuzi kwa wote humu Jf wenye uelewa haba!! hata yeye nilimuonya mara kibao!! Lkn sikio la kufa!!....
 
Huyu mke wa Jiwe watamuua kwa BP, hivi kweli chama kimekosa watu wenye busara kushauri mke wa marehemu angalau aende Chato asubiri mwili wa mumewe huko?

Yaani mwanamke kila mwili unapokwenda naye yupo, wakati wa kuaga naye hupo, tangu Dar siku mbili anamuaga mumewe, Dom siku moja anamuaga mumewe, Z'bar siku moja anamuaga mumewe, Mza amuage mumewe, Chato amuage mumewe.

Hivi atakuwa mtu wa aina gani ambaye ataweza kuvumilia uchungu wa kumuona mumewe ambaye amenyamaza kimya na kufumba macho?

Sasa wasipokuwa makini watamaliza kumzika Meko na Mkewe anafuatia, , , huyu mama wampumzishe pamoja na wanae waende Chato wasubiri mwili wa marehemu basi!
Hata mimi nilitegemea baada ya Dodoma labda atakwenda kusubiria Chato .... which is also wrong. Maana haiwezekani kumuacha mumewe nyuma halafu yeye atangulie!! Kiukweli kwa huu mtindo hawaitendei Haki familia ....!!
 
Kwa jinsi "Hayati Mwenyekiti Wa CCM" alichowafanya wazanzibari kwenye uchaguzi mkuu 2020 miezi michache iliopita, "VIRUNGU/FIMBO/MAKOFI/MITAMA kolabo "MABOMU/RISASI", visiwani walichezea baikoko wakachezeka kweli kweli.

Sijui kama boat za bakhresa hazijajaa waombolezaji waliokatiwa ticket za bure tokea "MFUKO MAALUM WA MAAFA WA LUMUMBA".

Kuna watu huko kila wakisikia jina lake wanakumbuka sura za ndugu/watoto/marafiki waliokua wakiokotwa maiti zao mitaani waliopoteza maisha. Wenye matundu ya risasi vifuani/tumboni/vichwani.

Mungu awape subira wahanga, na maisha ya amani waliopoteza maisha yao kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Exactly where you are , hapo mpaka waliaji na waombolezaji lazima wakodiwe , wasafirishwe toka bara ili idadi yetu ya mabilioni itimie , ila ndio haisadii kitu hafufuki ng'o hata mataga kina Yehodada mfanyaje , Gwajima mwenyewe kakaa kimya Kama hafufuagi wafu ? .
 
Back
Top Bottom