Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

Acheni kejeli, ni JPM ni mpendwa wa wengi, acheni wamuoge ili wapate closure, kama mnaona wivu sana mwambieni Lissu na yeye afe aagwe na mashoga zake huko Belgium.
Wana CCM akili hamna. Kwa hiyo kwenu ni ufahari kumzungusha marehemu kwa zaidi ya wiki mitaani? Tafadhali mhifadhini kuheshimu utu wa mtu hata kama siyo mzima. Mtu ana hadhi yake, siyo kuzungusha mwili wake ardhini na angani karibu wiki mbili nzima. Mnawaumiza ndugu na watoto wake na yule mama yake aliyepo kitandani anaumwa.

Mizunguko yote hiyo ya nini? Zikeni Janeth apumue jamani. Hamna hata huruma nyie watu. Mnatafuta umaarufu wa chama chenu au wa nini?
 
Huyu mke wa Jiwe watamuua kwa BP, hivi kweli chama kimekosa watu wenye busara kushauri mke wa marehemu angalau aende Chato asubiri mwili wa mumewe huko?

Yaani mwanamke kila mwili unapokwenda naye yupo, wakati wa kuaga naye hupo, tangu Dar siku mbili anamuaga mumewe, Dom siku moja anamuaga mumewe, Z'bar siku moja anamuaga mumewe, Mza amuage mumewe, Chato amuage mumewe.

Hivi atakuwa mtu wa aina gani ambaye ataweza kuvumilia uchungu wa kumuona mumewe ambaye amenyamaza kimya na kufumba macho?

Sasa wasipokuwa makini watamaliza kumzika Meko na Mkewe anafuatia, , , huyu mama wampumzishe pamoja na wanae waende Chato wasubiri mwili wa marehemu basi!
 
Zanzibar haeayegemei ajira wewe kule asilimia 99 hupenda biashara .Wanaongoza kujiajiri sekta binafsi .Ukiuliza Tanzania nzoma nani wanaongoza kujiajiri sekta binafsi ni wazanzibari
Kwahiyo wamefungiwa maduka yao kama ilivyofanyika Kariakoo ya Dasalama
 
Kuna watu wanaumia wakiona marehemu anaagwa na wengi, wanadhani wao ndio wenye hati miliki ya kupendwa na watanzania, wamesahau kila mtu ana personal opinion yake na anaweza amua chochote atakacho wakati wowote.
Wana wivu utafikiri ni wake wenza.....
wanajibebesha kichwa wakidhani wanapendwa wao.....
wakiona matukio ya watu kuaga kwa simanzi...
wanakuja na utopolo wao
 
Msiba wa Maalim ulinigusa sana kuliko huu halafu ukafuatia wa Bi Kidude
 
Duh,Watu wanaona wivu hata kwa mtu eti kuagwa,eti azikwe haraka haraka,kama watu wanahitaji kumuaga mtu wao je?
 
Natazama luninga hapa wananchi wa Zanzibar wakitoa salaam zao za mwisho kwa Marehemu Dr John Pombe Joseph Magufuli.

Utaratibu ni mzuri sana hakuna vurugu.
Na wanajeshi wamejipanga vizuri kuwasaidia wananchi ambao wanaishiwa nguvu baada baada ya kuuona mwili.

Asante Zanzibar kwa utaratibu mzuri.
 
... tunajifunza kutokana na makosa; wangekuwa wa kwanza kusingekuwa na tofauti na yaliyotokea kwingine.
 
Dar ina watu wengi. Mwanza pia sidhani kama wataruhusu kuaga kama Zanzibar, watafanya kama Dodoma maana watu ni wengi pia
 
... tunajifunza kutokana na makosa; wangekuwa wa kwanza kusingekuwa na tofauti na yaliyotokea kwingine.
Hata hivyo wenzetu kule wamestaarabika zaidi, na niwaelewa wanapopewa maelekezo. Angalia jinsi walivyojipanga kiustaarabu. Ingekuwa Dar ungekuta machuma yamesukumwa huko, wengine wanarukaruka, wengine wanakimbia tu uwanjani na wengine kuwachokoza Polisi.
 
Hata hivyo wenzetu kule wamestaarabika zaidi, na niwaelewa wanapopewa maelekezo. Angalia jinsi walivyojipanga kiustaarabu. Ingekuwa Dar ungekuta machuma yamesukumwa huko, wengine wanarukaruka, wengine wanakimbia tu uwanjani na wengine kuwachokoza Polisi.
Huku bange sana..vijana wengi ni hopeless anaamua kuvuta bangi aingie ndan
 
Daaah kwa hizi akili za kijinga hivi, sijui tu. Kwahiyo wewe hapa Duniani hupaswi kufanya kitu kwakua utakufa? Nikukumbushe tu kitu kimoja, hapa duniani uwe mwema kwa watu kupita kiasi kama malaika,Uwe katili mwenye roho mbaya (kama mnavyomuita Magufuli), kukikubwa kufa utakufa tu...
Amini maneno yangu kamwe sifi km mbwa. Nitakufa nikiwa nimejaa umri na tabasamu tele bila kusahau kutubu kwa Mungu wangu ninae mjua sana.

mungu wako najiwe ni makatili.siyo kwa mateso haya ya covid km hivo. Anakufa kwa kujificha???
utakufa weye km jibwa mie never Ever think again. Yesu wangu alipo ndipo nitakapo kaa. Mkono wa kuume.

Sisi wengine tumeshushwa kutembea humu !!! angalia vizuri ni mimi huyo nakubalika kote humu Duniani. Kwa viumbe wa Mungu tu.

Siyo kwa viumbe km wewe na jiwe kamwe hamtanikubali mtanichukia km mlivo mchukia Yesu wa Nazarethi hiyo. Hainipi shida nakuapia. zaidi mnanifanya nijue am real heavenly citizen.

Una lingine babu wa kuzimu? Na bado utamfuata tuuuuu soon"
 
Back
Top Bottom