Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,430
- 78,595
Nakubaliana na wewe ATCL ilitakiwa ianze mapema ,maana hadi routes ziko tayari ,but sasa hivi litafanyiwa kazi harakaMkuu masuala ya mipango ndio yanatuchelewashaga sometimes.
Unakumbuka baada ya Tshisekedi kwenda huko Kigali (26 march,2019) then (17 April,2019) Rwanda air ikaanza kwenda huko Kinshasa mara 3 kwa wiki.
Inatakiwa within a Month ATCL ianze safari za kwenda huko Congo,chap chap.
Mwezi uliopita mjumbe wa ATCL alikua Lubumbashi