Uchaguzi 2020 Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za CCM jijini Mwanza - Septemba 7, 2020

Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.

Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.

Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
 
Hii Fiesta sio ya kukosa
IMG_20200906_170737_542.JPG
IMG_20200905_220321_684.JPG
 
Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.

Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.

Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
I agree
 
Hamna kipya yale yale kapanic sijui Kwanin Kuna sehemu anasema na wagombea ubunge wenzangu kasahau position yake?
 
Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.

Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.

Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
Comte roboti ya Lumumba!!
 
Kaahidi kutoa bangi bure ??
 
Kasemaje kwani unajua mazoea yana tababu! Nikajua ni mambo yale yale ya ndege, SGR, elimu bure ni kama Lissu huwa unajua kabisa ataongelea kupigwa risasi na alivyopewa damu na wakenya nk kumbe hotuba zinabadirika tujifunze hata Rungwe sio kila siku ubwabwa.Nyerer ndiye alikuwa tofauti sana yaani juzi kwenye speech zangu nimesikia anasema usimchague mtu kwa alichofanya zamani tu ila angalia atafanya nini baadaye.Kwani kasema kumchagua sio zawadi bali ni majukumu mnampa
 
Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.

Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.

Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
Sijaona kipya hapo tayari jiwe ameshagundua watu wameshachoka kusikia maendeleo ya vitu nimemsikia anawaambia wabunge kuwa waongee haraka anasema watu wanataka mziki
 
Toka kampeni zianze nimekuwa nikisikia maoni ya watu kuhusu hotuba za Rais Magufuli.

Baadhi ya maoni yalikuwa yanataja mapungufu na kasoro kadhaa katika hotuba zake. Leo nimechukua mda wangu kumsikiliza na nimefurahishwa na ubora wa hotuba yake leo; ama amejifunza kama wakosoaji walikuwa sahihi au wakosoaji walikuwa wanamsingizia.

Au pengine Mwanza ndiyo Game changer ya uchaguzi huu na bahati ya JPM.
Kilugha kimetumika tena lakini
 
Back
Top Bottom