Bakhresa(mi nimezoea kumuita Azam)Ni sehemu ya kazi yao. Ndiyo maana wanalipwa mishahara.
Huyu tajiri unayemtaja kama Azam yuko nchi gani?
Bakhresa(mi nimezoea kumuita Azam)Ni sehemu ya kazi yao. Ndiyo maana wanalipwa mishahara.
Huyu tajiri unayemtaja kama Azam yuko nchi gani?
Posho zipi zilizositishwa?Hicho Ni Chombo Cha Umma Hata Salary Huwa Hawapewi Kwa Kuombewa. Mkulu Kakwambia Kila Kitu Kipo Sawa,Ukweli Hao Wanaoshiriki Zoezi Wana Posho Zao Siyo Kuwaombea Chochote Kwa Matajiri
Wapo vizuri sanaKwa kweli ile kwata ya kimya kimya ilikuwa bomba sana na inaelekea wale Askari walifanya mazoezi mda mrefu sana wanastahili hata motisha pia.
Aliyesema Posho Zimesitishwa Ni Nani ?Posho zipi zilizositishwa?
Ndg waamini makomando wetu, usifikiri kwamba ni legevu wale jamaa.Km U.S.A na Italy zinawakubali makomandoo wetu Wa JWTZ na kifanya nao mazoezi ya pamoja, Kwa nini wewe uwadharau ? Wale jamaa in hatari sana , sana !Nazungumzia kikosi cha komando ambacho kimeonyesha sarakasi na karate uchwara
Mmmmmmh siyo mbwembwe ndg yng, ile ni live show ! Ya makomandoo Wa jeshi Letu.Nasubiri mbwembwe za makomandoo