Mwakamele 16
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,493
- 1,108
Nadhani atakuwa bado hajarudi kutoka kwa TB Joshua
mzee wa upako bwana lusekelo nae ana mambo
Toa ushamba wako hapa kwani Kanumba alikutwa na jeraha hatamoja?usiseme vitu ambavo haujawahi kuvijua wewe.Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Mkuu wewe ni daktari Muhimbili? Ulimuuguza Jane Sewa haji? Au umekariri ukipigwa au wanaopiga wanapiga usoni na kichwani tu? Kwasisi wenye uelewa na uzoefu wa kuwatandika akina Jane tuna sehemu nyingi sana za kuwajeruhi na msione
Unapataje amani sasa kwa kumuona mke wa mtu kwny TV...?? Ni kweli kabisa unasema umepata huzuni ya moyo..? Serious...??Katika watu ambao huwa napata amani nikiwa waona ni firstlady wetu kipenzi mama Janeth . Ila Leo sijamuona uwanjani kitu ambacho kimenipa huzuni ya moyo.
Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
taarifa ya habari ya saa mbili inaanza saa ngapi??Mwenye ratiba ya epl ya Spain anipe
Hata mimi japo mkulu kwa mengine simkubari ila kimambi aliongopa.Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
Hahahaaah haijatoka bado.!Mwenye ratiba ya epl ya Spain anipe
SAA kumi jionitaarifa ya habari ya saa mbili inaanza saa ngapi??
Kama wewe sio daktari wake uliemtibu au daktari hajazungumza hilo au hujsona file lake la matibabu basi huwezi kuthibitisha kuwa hakuwa na jerahaAcheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Unaweza ku strike hiyo area unintentionally.Unatakumaanisha magufuli kasomea kumpiga mkewe mpk ajue hizo weak areas? endelea kupuyanga
Hiyo ndoa ishakuwa ndoa ya taifa lazima tuiongelee sana tu na inatuhusu wote!!!!!!Mi nawashangaa hawa wanaobweka ooh tuache ndoa za watu, mara tumwachie private life yake, mara tumwachie ya familia yake, Je mtu aliyeshindwa kuimanage familia ataweza kumanage taifa?