Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Kuna mtu kadondoka uwanjani
IMG_20161209_100533.jpg
 
Naomba kukuuliza hivi Mkuu wa Mkoa Paul Makonda siku hizi na yeye amekuwa Mtu wa Itifaki? Kwani namwona anafanya Kazi za Watu wa Protocol na kimsingi yeye anatakiwa tu kumpokea mgeni, kupeana nae mkono kisha kuwaachia Watu wa ( Kazi Maalum / Itifaki ) kuendelea na majukumu yao waliyosomea na kubobea nayo lakini cha kusikitisha yeye huyo huyo RC Makonda anaenda kumpokea Mgeni kisha yeye huyo huyo tena anawasindikiza karibu na kupanda ngazi tena huku akitoa maelekezo. Huyu Mkuu wenu wa Mkoa aache kuwa na sifa na kimbelembele na nina uhakika hata Watu wa Itifaki alionao pale anawakwaza. Kwanini hajifunzi na habadiliki?
Namshangaa sana, namuona nyuma ya rais wkt mizinga inapigwa, waziri wa nchi anamshangaa, yule askali nyuma ya makonda ana smile tu. Something wrong with protocality
 
Namshangaa sana, namuona nyuma ya rais wkt mizinga inapigwa, waziri wa nchi anamshangaa, yule askali nyuma ya makonda ana smile tu. Something wrong with protocality
Makonda hajui yupo pale kama nani, huwa nahisi anajiona ana nafasi kubwa kwa JPM labda kuliko PM Majaliwa
 
Back
Top Bottom