Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

Sa mnashangaa nn c tulishaambiwa ,chakula cha mukulu anapika Mke wake,so itakuwa yuko jikoni anafanya mambo ili mzee akute teyari
 
Acheni uongo wa huyo kimambi, tangu lini mtu akapigwa hadi kuzirai halafu hana majeraha!? Uongo mwingine bwana!
Ulimkagua ukakuta hana majeraha? Habari inawezakuwa sio kweli wewe unachokisema unaisi tu mana majeraha yanaweza kuwa mgongoni miguuni kifuani tumboni sasa ebu prove hana majeraha hizi sehemu
 
Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
Ahhahahahahahajahahah
 
Bichwa maji mkubwa wewe

Hivi hujui weak areas ambapo mtu akikupiga hata kukuua anaweza kukuua
Kwa Hiyo unataka kusema JPM ni boxer au usalama wa taifa kiasi cha kufundishwa unacho sema? Wakurya na tabia Yao wao hawajui kuhusu pressure points au kwa kifupi hawafuati Hiyo ya kupiga pressure point na ukiwa na hasira hakuna cha pressure points ni kupiga vibao ambavyo vitakuwa usoni au shavuni
 
Kazi nzuri walionyesha jana kwenye sherehe za Uhuru,,hakuna kupewa chakula/maji ,wageombwa ata matajiri kama mengi au Azam wachangie japo fedha ya chakula.
Kwata kimya kimya walistahili japo chakula na maji kwa Kazi nzuri waliofanya jana.

Nb:Mod tafadhali msiunganishe Uzi huu na Uzi mwingine.
 
Kazi nzuri walionyesha jana kwenye sherehe za Uhuru,,hakuna kupewa chakula/maji ,wageombwa ata matajiri kama mengi au Azam wachangie japo fedha ya chakula.
Kwata kimya kimya walistahili japo chakula na maji kwa Kazi nzuri waliofanya jana.

Nb:Mod tafadhali msiunganishe Uzi huu na Uzi mwingine.

Hamna aliyejua kwamba kazi ingekuwa nzuri kiasi hicho, siku ingine!!!
 
Ni sehemu ya kazi yao. Ndiyo maana wanalipwa mishahara.

Huyu tajiri unayemtaja kama Azam yuko nchi gani?
 
Kwa kweli ile kwata ya kimya kimya ilikuwa bomba sana na inaelekea wale Askari walifanya mazoezi mda mrefu sana wanastahili hata motisha pia.
 
Hicho Ni Chombo Cha Umma Hata Salary Huwa Hawapewi Kwa Kuombewa. Mkulu Kakwambia Kila Kitu Kipo Sawa,Ukweli Hao Wanaoshiriki Zoezi Wana Posho Zao Siyo Kuwaombea Chochote Kwa Matajiri
 
Back
Top Bottom