Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

"Kwa sisi waafrika, sio jambo la ajabu kuwa na wake wawili, watatu, wanne hata kumi, ni jambo la kawaida...."
JPM katika Mazishi ya Didas Masaburi.

"Nimemuuliza Mzee Mwinyi kwanini anazidi kuwa na Afya njema zaidi japokuwa ana umri mkubwa sana, akaniambia siri ni kuwa na wake wawili"
JPM katika sherehe za Uhuru.

Sasa unganisha mwenyewe!
 
jamii-forums.png


swissme
 
Mi nakwambia huyu first lady ni moja ya wanawake jasiri na mvumilivu, yaan Magufuli yuko madarakani mwaka mmoja tu watu washa mchoka, ila yeye kaish naye miaka 30 nyumba moja, mumuache tuu mama kwa kweli.
Hawajaishi miaka yote 30 nyumba moja,asingeweza fuatilia vizuri kuanzia kampeni ilivoanza ndio wameanza kuishi nyumbamoja.
 
Endelea kutoa tu nakuto hudhulia mijumuiko ck mkeo akifa utajuwa umhimu wakuhudhulia nakujumuika na wenzio
 
Back
Top Bottom