Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,935
- 5,558
kwani ni uwongo?Hata JPM alipotangazwa kuwa ni rais,bavicha mlidai nchi imejaa huzuni
Bavicha mnapenda kuona na kusikia mvipendavyo tu
kwani ni uwongo?Hata JPM alipotangazwa kuwa ni rais,bavicha mlidai nchi imejaa huzuni
Bavicha mnapenda kuona na kusikia mvipendavyo tu
Hawezi kuina aib u kwa sababu kuu 2:Dr shein haoni hata aibu...
Lengo la kurudia uchaguzi ni lipi???ili ccm ichakachue ishinde au???Kama cuf wakikubali kushiriki marudio ya uchaguzi nitawadharau sanaHawezi kuina aib u kwa sababu kuu 2:
1. Amewafanyia mambo mengi sana tena mazuri sana ya maendeleo wanzanzibari,pande zote mbili Unguja na Pemba
2. Matokeo ya kura yalichakachuliwa Pemba. Je una habari kuna kitua nasikia kilikuwa na wapiga kura elfu tatu lakini matokeo kura zilizopigwa elfu 9. Mgombea CCM elfu1 na mgombea CUF elfu 8! kwa Pemba tofauti hiyo haina shaka lakini shaka inakuja idadi ya walioandikishwa na waliopiga kura. Nimeambiwa hii ndio sababu ya Jecha Kufutlitia mbali Uchaguzi!
Mi sina Chama ila nainga mknono uchaguzi urudiwe na nina hakika na mshindi ni nani hilo halina mjadala!
Kituo kimoja hakiwezi kusababisha uchaguzi kurudiwa wote,unarudiwa wa sehemu husika tu.Hawezi kuina aib u kwa sababu kuu 2:
1. Amewafanyia mambo mengi sana tena mazuri sana ya maendeleo wanzanzibari,pande zote mbili Unguja na Pemba
2. Matokeo ya kura yalichakachuliwa Pemba. Je una habari kuna kitua nasikia kilikuwa na wapiga kura elfu tatu lakini matokeo kura zilizopigwa elfu 9. Mgombea CCM elfu1 na mgombea CUF elfu 8! kwa Pemba tofauti hiyo haina shaka lakini shaka inakuja idadi ya walioandikishwa na waliopiga kura. Nimeambiwa hii ndio sababu ya Jecha Kufutlitia mbali Uchaguzi!
Mi sina Chama ila nainga mknono uchaguzi urudiwe na nina hakika na mshindi ni nani hilo halina mjadala!
Is it? Mwisho wa amri jeshi chumbe? Siyo kweli. JPM ndio mufalme ,madakta wanahangaika to earn dishonourable graves mbele ya umma wa Zanzibari.Magufuli zenji hana mamlaka
Wananchi wa Zanzibar hawawezi kufurahia hizo sherehe kwa ss, Nchi yao ni kama jahazi lililo kwenye mawimbi mazito kwa ss, hawajui pa kushika, hawaelewi hatima ya Nchi yao......hiyo furaha itatoka wapi?
Binafsi naiombea Zanziba kikombe cha Burundi kiwaepuke maana huu ukimya wao napata wasiwasi wa mshindo mkuu.
Wana chafuana Syria na nchi zingine za maana sembuse Tanzania/ Zanzibar. Tifuanene mpunguze idadi ya watu uchumi ni mbovu. Siasa za kijinga kijinga zina chosha sana. Watu wana hangaika kuleta maendeleo nchi nyie kazi zenu ni kugombea madalaka.Nyie wabara wengi mnadhani kama vurugu zikitokea Zanzibar basi watakaoathirika ni watu wa visiwani tu!! Iwapo Zanzibar kutatokea fujo ya aina yeyote hata ikiwa ni mapigano ya raia na vyombo via dola ujue hayo machafuko yatawaathiri hata wabara pia; hivyo utatuzi wa hiki kitendawili cha uchaguzi wa Zanzibar ni kwa salama ya wabara pia.!!
Hakuna kitu kama hicho: Labda awe Mkuu wa Kamandi iliyopo Zanzibar au pengine brigedi....Mkuu wa Jeshi ni mmoja tu kwa Tanzania naye ni Gen. Mwamunyange na IGP (mkuu wa Jeshi la Polisi) naye ni mmoja sijui ni Mangu au Mango mtajua wenyewe.Kumbe Zanzibar wana mkuu wa majeshi wao!!? Nimesikia wakati nikifuatilia sherehe za Mapinduzi kupitia Azam tv. Wadau hili ni kweli au Nimepotoshwa?
Kama hili ni kweli basi tumekwisha.
Mkuu Hivi ile kamati ya maridhiano inayo muhisisha Jk,Mkapa,Mwinyi,Shein nk unategemea wangekuja na maridhiano gani ??Hivi kinachotokea mashariki ya Kati ccm hawakioni? Hivi think tanks za hiki chama ndio zimefeli kabisa au huu ndio mwisho wake wa kufikiri?
A crippled one kwakuwa wote ni wale waleMkuu Hivi ile kamati ya maridhiano inayo muhisisha Jk,Mkapa,Mwinyi,Shein nk unategemea wangekuja na maridhiano gani ??