Yaliyojiri Uwanja wa Amani, katika Kilele cha Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar 12 Jan, 2016

Mungu aliyeumba mbingu Na dunia hadhihakiwi, Na Leo imejidhihirisha kwenye sherehe za Mapinduzi, hakika wapenda haki wote tutaendelea kukilaani chama cha mapinduzi kwa nguvu zote kwa ubakaji wake, tutaendelea kuipinga CCM ktk jina LA baba Na LA mwana Na toho mtakatifu, Amen
 
Jamani uwanjani kuna vijembe vingi....badala ya kuwepo na shamra shamra.........kweli kuna jambo zito mioyoni mwao. Mnaotaka kuona vijembe angalieni Azam two......TBC na ZBC wanaficha ficha
 
Inabidi ucheki ili ushuhudie mwenyewe...............Shein anazungushwa kwenye ki gari uwanjani amenunaaaaaaa
Ni kweli kabisa naamini anaijutia nafsi yake kwa kutaka kuendelea kuwa madarakani huku akielewa fika kuwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka jana, alibwagwa na Maalim Seif.
 
Kumbe Zanzibar wana mkuu wa majeshi wao!!? Nimesikia wakati nikifuatilia sherehe za Mapinduzi kupitia Azam tv. Wadau hili ni kweli au Nimepotoshwa?
Kama hili ni kweli basi tumekwisha.
Kwa we ujuwi Zanzibar ni nchi yenye rais,wimbo wa taifa bendere na ulinzi wake?Mbona yupo toka enzi huyo.Ni watu wanajitoaga ufahamu
 
Kumbe Zanzibar wana mkuu wa majeshi wao!!? Nimesikia wakati nikifuatilia sherehe za Mapinduzi kupitia Azam tv. Wadau hili ni kweli au Nimepotoshwa?
Kama hili ni kweli basi tumekwisha.

Wako sahihi.Kuna mkuu wa polisi wa Zanzibar,Mkuu wa uhamiaji wa Zanzibar,Mkuu wa magereza wa Zanzibar,mkuu wa majeshi wa Zanzibar na Raisi wa Zanzibar unachoshangaa nini? Hujui Zanzibar ni nchi?
 
Wako sahihi.Kuna mkuu wa polisi wa Zanzibar,Mkuu wa uhamiaji wa Zanzibar,Mkuu wa magereza wa Zanzibar,mkuu wa majeshi wa Zanzibar na Raisi wa Zanzibar unachoshangaa nini? Hujui Zanzibar ni nchi?
Kwa hiyo......... Mwamunyange ni mkuu wa majeshi wa Tanganyika? Nahisi sielewi.
 
Kupooza kwa sherehe kumeanza jana usiku wakati wa Pash pash (Baruti zinazopigwa ifikapo saa sita usiku wa tar 11 December) wengi wa waliohudhuria walilalamika kwamba hazikufikia kiwango walichotarajia huku wakilinganisha na zoezi hilo lilivyofanyika mwaka jana.
 
Wako sahihi.Kuna mkuu wa polisi wa Zanzibar,Mkuu wa uhamiaji wa Zanzibar,Mkuu wa magereza wa Zanzibar,mkuu wa majeshi wa Zanzibar na Raisi wa Zanzibar unachoshangaa nini? Hujui Zanzibar ni nchi?
Acha kupotosha mkuu una ushahidi
 
MAJIPU YAPO ZANZIBAR NAKO. NI KAZI NZURI YA JPM WANATAKA AWASAIDIE NA ZANZIBAR. NAONA NI (MATATIZO) YANAYOKOSESHA AMANI ZBAR
 
Hayo ya mkuu wa majeshi siyajui kwa undani nnachokifahamu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anapokua Zanzibar, Rais wa Zanzibar ndio Bosi.
 
Acha kupotosha mkuu una ushahidi
Ushahidi watu hao wote wapo.Uliza wazanzibari wa serikalini wakwambie.Lakini hata mwanasheria kuna mwanasheria mkuu wa Zanzibar na jaji mkuu wa Zanzibar mnashangaa nini hivyo vipo miaka mingi ndio mmejua leo au nini?
 
Back
Top Bottom