gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,892
- 5,946
Chunya mchakato unaendelea nikipenyezewa matokeo ntakujulisha mkuu naona tangu jana unaulizia sana.Jmn chunya vipiiii!
JESUS IS LORD
Chunya mchakato unaendelea nikipenyezewa matokeo ntakujulisha mkuu naona tangu jana unaulizia sana.Jmn chunya vipiiii!
JESUS IS LORD
Nimekuelewa sana mkuuHana aibu yule... angekuwa na aibu asingejaribu kugombea
Taarifa ambazo hazijadhibitishwa zinasema Tale amedondokea tumbo hadi ametapika mishkaki miwili na chips kavu alizokula jana usiku.
unazingua sana , muda sio mrefu uliandika Askofu kashinda , sasa hivi umekuwa wa kwanza kuandika Furaha na Mdee, wahusika JF muwe mnashughulikia watu kama hawaNi jambo jema.
Yawezekana kabisa mchuano mkali kule Kawe hapo October 26 ukawa kati ya Halina Mdee wa CCM na Furaha Dominic wa CCM endapo ataletwa na Kamati kuu.
Kwa kifupi ni kwamba: Mdee 10 Yatosha!
Maendeleo hayana vyama.
Tupieni cv yake kwa udogoHuyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Kumbe unamjua!Huyo jamaa mbona ni mwepesi sana kwa Mdee!
Itabidi Gwajima arekodi video nyingine naona ile raia hawajaielewa
Alikuwa Diwani ama ?Maana wajumbe 101 kumpigia kura lazima ana influence.Huyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Ni mwepesi Ila tayari ndio mshindi atakae chuana na MdeeHuyo jamaa mbona ni mwepesi sana kwa Mdee!
Utamjuwa vizuri October!Furaha Dominic ni nani ?Alikuwa Diwani ama ?
Mpuuzi sana huyo jamaa wahusika wanamuacha tuu akiandika ujinga wakewewe jamaa kila kijachokujia kichwani unakianzishia uzi
mengne uwe unaweka kwenye comments tu
Safi sana sanaaaaa......... Ila alishaomba kazi ya kufagia ofisi za ccm sijui kwa nn aliamua kugombea tena.....Lijuakali kapata kura 5
Huyu ndo Komredi Furaha DOMINICK JACOB
View attachment 1512845
Huyu n Nani kwani.....maana umezoom mpaka duuu
Mnafki yule Mashinji kaambulia kura 2Mashinji chaliii
Sio sana!Kumbe unamjua!
Linalowezekana sasa,lisingoje October.Utamjuwa vizuri October!