Kama Kigamboni bwana yule kapeta, sasa naanza kuamini maneno ya Kigogo2014 wa twitter...kuwa bwana yule anaenda kupewa nafasi nyeti, na possibly mrithi rasmi 2025.

Ikiwa na ukweli "wale wazee vetting" sijui watsemaje??!!
Mmmh! Labda kwa uteuzi wa viti maalum.
 
Tulia ackson akiwa na mzigo wake wa kura, sugu jiandae
IMG_20200720_145120.jpg
 
Back
Top Bottom