kupita kura za maoni ni utaratibu tu wa vyama mziki upo kwenye waamuzi wa mwisho ambao ni raia katika sanduku la kura, Wao hulipa yale ambayo unastahili
Hivi ukishapita kwenye kura za maoni ndo umepita au unaweza kukatwa huko mbele even wananchi wamekuchagua wewe?
 
Kigoma Mijini waislam ni wengi kwa maana hiyo wao ndiyo waamuzi wa nani awe mbunge.

Ni Kama Zanzibar. Pale Mkristo akigombea hawezi kushinda.

Kwa hiyo usitoe povu sana wakati mwenzako kasema ukweli
Sasa nawe huo ndo umeona ni mfano?
 
Moshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.

Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.

Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.

Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
Ester Bullaya si ester mmassy
 
Iramba kura zilizopangwa na Uongozi wa CCM Wilaya

1. Eng. CC Mkali - 4
2. Dr. Mwigulu Nchemba - 27
3. Monica Yongolo --8
4. Lyanga Martin 3
5. Dr Timoth Lyanga - 13
6. Paulo Mkoma 2
7. Abdala Matanga - 3
8. Robert Jackson Makala - 5
9. Vicent Shomela - 3
10. Eng. Jumbe Katala 11
12. Mwl Noel Kingu - 4
13. Matahyo Samson - 9
14. Elia Mpesa 1
15.Elibariki Ndau 1
16. Paulina Makamba - 2
17. Adv. John W. Jacob - 16
18. Sadath Nkuku - 1
19. Herijema Nalaila - 6
20. Babu Khamis Bulali - 3
21. Amani Irunde 1

Sawa, tutairudia hii comment baada ya matokeo.
 
Hivi kura za maoni kwenye nafasi ya urais zilisha pita?
Walikuwa watia nia wawili tu mmoja akachinjiwa baharini akalialia huko machozi yake ikaenda na maji mara ZZK akamuokoa baada ya bahari kumsukumia ufukweni, basi wengine wakaona muvi ilivyoektiwa wakakunja mikia akabaki mmoja tu akapambana yeye na kivuli chake na yeye kuibuka kidedea!!
 
Back
Top Bottom