Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,802
11,961
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.


Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi

Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.

Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.

------ UPDATE: MATOKEO YA KURA ZA MAONI -----

1. DAR ES SALAAM


Kinondoni
Abbas Tarimba - 171
Idd Azann kura - 77
George Wanyama - 32
Maulidi Mtulia - 11

Kigamboni - Kura 399
Dkt. Faustine Ndugulile - 190
Paul Makonda - 122
Ansar Kachwamba - 39

Kawe - Kura 475
Furaha Jacob - 101
Angela Kiziga - 85
Askofu Josephat Gwajima - 79
Benjamin Sitta - 61

Ilala
Mussa Azzan Zungu - 148
Sophia Edward Mjema - 105
Mendrad Mpangala - 7


Kibamba
Issa Mtemvu - 83
Vicky Kamata - 49
Mwesigwa Siraji - 36

Ubungo - Kura 375
Prof. Kitila Mkumbo - 172
Bi. Mwantum Mgonja - 73

Segerea
Bonnah Kamoli - 365
Asaa Simba - 41
Shaabani Oromi - 20

Ukonga
Jerry Silaa - 206
Robert Mesegese - 118
Mohammed Msofe - 60

Temeke - Kura 367
Abbas Mtemvu - 203
Doris Kilave - 182
Abdallah Mtolea - 22.

Mbagala
Abdallah Chaurembo - 316
Issa Mwangungu - 65
Lucas Mashauri Malegeli - 34


2. SINGIDA

Iramba Magharibi
Mwigulu Nchemba - 677
Jumba Katala - 14

Singida Mjini
Musa Ramadhan Sima - 158
Charles Kisuke - 124
Hassan Mazala - 92

Singida Kaskazini

Iramba Mashariki

Manyoni Magharibi

Manyoni Mashariki

Dkt. Chaya Pius Steven - 530
Mtuka Edward Daniel - 79
Jumanne Ismail - 40

Singida Mashariki
Miraji Mtaturu - 434
Thomas Mgonto - 101
Emmanuel Ihonde - 17

Singida Magharibi
Elibariki Kingu - 321
Lissu Mahanju - 125
Hassan Tati - 62


3. TABORA

Bukene

Igalula

Igunga

Kaliua

Prof. Juma Kapuya - 217
Aloyce Kwezi - 209

Manonga
Seif Khamis Gulamali - 309
Abubakari Shabani Abdala - 227
Eng. Jacobo Chugu Gwandu - 91

Nzega Mjini - Kura 376
Bashe 367
Ruangisa 1
Mashili 6

Nzega Vijijini
Dkt. Hamisi Kigwangalla - 415
John Dotto Kisure - 264
Gabriel Ishole - 8

Sikonge
Joseph Kakunda - 364
Said Maulid Lyoba - 71 3
James Mwanakatwe - 61

Tabora Mjini
Emmanuel Mwakasaka - 384
Aden Rage - 235
Gulam Dewji - 47

Ulyankulu

Urambo

Uyui



4. PWANI

Kisarawe
Seleman Jafo - 588
Chaulembo -3
Ally Goha -2
Zemba Mumbi -2
Zainabu Zowange-2

Chalinze
Ridhiwan Kikwete - 369
Ramadhan Maneno - 273
Said Zikatimu - 223

Bagamoyo
Muharami Mkenge - 157
Dkt. Shukuru Kawambwa - 90
Abdala Buheti - 60

Kibaha Mjini - 523
1- Sylvestry Kooka - 286
Abubakari Alawi - 88
Mchange Mchange - 69

Kibaha Vijijini
Hamoud Jumaa - 332
Michael Makamo - 33
Hussein Juma -31

Mafia -261
Omari Kipanga - 111
Mbaraka Dau - 95

Mkuranga
Abdallah Ulega - 1138
Ramadhan Mlao - 50
Ally Mawe - 7

Kibiti
Twaha Mpembenue - 275,
Ungando - 258
Amina Mkumba - 80

Rufiji
Mohamed Mchengerwa - 273
Dkt. Rashid Said - 120
Likeye Keye - 63


5. IRINGA

Isimani
Lukuvi - 453
Kiyoyo - 16
Mwilinge - 5
Kidunye - 5

Iringa Mjini
Jesca Msambatavangu - 190
Nguvu Chengula - 75
Ibrahim Ngwada - 44

Kalenga
Jackson Kiswaga - 221
Leo Mavika - 149
Bryceson Kibasa - 33
Godfrey William Mgimwa - 7

Kilolo - Kura 868
Justine Nyamoga - 209
Bryan Kikoti - 180
Prof. Peter Msolla - 68

Mafinga Mjini
Cosato Chumi - 135
Dr. Bazil Tweve - 122

Mufindi Kaskazini

Mufindi Kusini



6. TANGA

Tanga Mjini - 873
Ummy Mwalimu - 783
Omary Ayoub - 41
Juma Shaban Kimwaga - kura 33

Bumbuli
January Makamba - 680
Abdulkadir Kaniki - 21
Muhajir Madiwa - 12

Mlalo
Rashid Shangazi - 354
Solomon J. Itunda - 250
brahim Ally - 18

Pangani
Juma Aweso - 282
Waziri Mohamed - 39
Ayub Mswahili - 16

Kilindi
Omari Kigua - 374
Musa Semdoe - 232
Fikirini Masokola - 132
Dkt. Aisha Kigoda - 126

Mkinga
Dastan Kitandula - 261
Mwantumu Mahiza - 144
Said Hassan - 113

Handeni Vijijini
Charles Sungura - 168
Mboni Mhita - 136
Ramadhani Diliwa -135

Muheza
Balozi Rajab Adad - 577
Hamis Mwinjuma (Mwana FA) - 296
Bomboka Hassan - 49

Korogwe Mjini
Mary Chatanda - 113
Dkt. Alfred Kimea - 55
Mathew Mganga - 19

Korogwe Vijijini
Timotheo Mnzava - 569
Raymond Mndolwa - 96
Abinus Mlelwa - 54

Lushoto
Shabani Shekilindi - 210
Emir Msisiri - 178
Rodger Shemelekwa - 47

Handeni Mjini
Reuben Kwagirwa - 132
Hafidhi Kabanda - 92
Mariamu Mwanirwa - 75


7. GEITA

Geita Mjini

Costantine Kanyasu - 284
Manjale Magambo - 182
Malugu Stefano - 40

Geita Vijijini
Joseph Musukuma - 319
Patrick Malogoi - 90
Vitus Chang'oro -26

Busanda
Kulwa Biteko - 665
Laulencia Bukwimba - 94
Abdala Hussein - 20

Nyang'hwale
Hussen Nasoro Kasu - 355
John William Kabiki - 30
Frank Henry Magili - 2-

Bukombe
Doto Biteko - 555
Mihayo Paul - 2
Mkama Mashinagu - 0

Chato
Dkt Medard Kalemani - 553
Dkt Francis - 27
Ibengwe - 22


8. MBEYA

Mbeya Mjini - Kura 924
Tulia Ackson - 843
Mabula - 16
Mwakipesele - 11

Mbeya Vijijini
Oran Manase Njeza - 491
Dickson Sinkwembe - 202
Isambi Shiwa - 136

Busokelo

Lupa
Masache Kasaka - 476
Victor Mwambalaswa - 86
Geofrey Mwankenja - 84

Mbarali

Rungwe

Sauli Henry Amon - 404
Antony Mwantona - 318
Goodluck Mwangomango - 69

Kyela
Ally Mlagila Jumbe (Kinanasi) 502
Hanta Albert Mwakifuna 288
Dkt. Harison George Mwakyembe 252


9. SONGWE

Ileje
Wilman Ndile - 172
Godfrey Msongwe - 106
Joel Kaminyoge - 74
Bahati Msomba - 63
Janeth Mbene - 39

Mbozi

Momba

Songwe


Vwawa
Japhet Hasunga - 552
Erick Minga - 129

Tunduma
Aden Mwakyonde - 250
Davidi Silinde - 118
Daines Sichwale - 20


10. MANYARA

Babati Mjini

Ester Mahawe - 91
Kisyeri Chambiri -77
Pauline Gekul- 61

Babati Vijijini
Daniel Sillo - 502
Jitu Soni - 68
Damas Nakei - 05

Hanang’
Mwl George Bajuta - 267
Dkt. Mary Nagu - 210
Samuel Hayuna - 135

Kiteto

Mbulu Mjini

Mbulu Vijijini

Simanjiro

Christopher Ole Sendeka - 309
Daniel Lenganasa amepata - 16
James Ole Millya - 15


11. KILIMANJARO

Hai - 485
Saashisha Mafuwe - 124
Fuya Kimbita - 85
Aboubakari Ndosa - 48

Siha
Dkt. Godwin Mollel - 148
Aggrey Mwanry - 147
Tumsifu Kweka - 53

Moshi Mjini - Kura 370
Ibrahim Shayo - 140
Priscus Tarimo - 137
Beno Malisa - 23

Mwanga
Anania Thadayo - 176
Profesa Jumanne Maghembe - 130
Shabib Mruma - 56

Same Magharibi
Dkt. Mathayo David -389
Angellah Kariuki, kura 300
Mary Mgonja - 18

Same Mashariki

Moshi Vijijini - 594

Profesa Patrick Ndakidemi - 262
Deogratius Mushi - 42
Moris Makoi - 35

Vunjo - Kura 567
Enock Koola - 187
Dk. Charles Kimei - 178
Crispin Meela - 47

Rombo
Profesa Adolf Mkenda - 286
Anthony Mseke - 87
Colman Samora Kanje - 31


12. MOROGORO

Gairo
Shabiby - 532
Dkt.Mmasa Joel - 8
Shehewa Chiduo - 6

Kilombero
Abubakar Asenga - 368
Vitus Lupagila - 54
Bhimji Rocky - 22
Peter Lijualikali - 5

Kilosa
Prof. Palamagamba Kabudi - 714
Kaunda Haji Saidi kura - 101
Dkt. Chilongola F. Musa - 51

Mikumi
Jonas Nkya - 249
Denis Rondo - 103
Ameer Mbaraka - 82

Mlimba
Godwin Kunambi - 193
Rose Rwakatare - 193

Morogoro Kusini
Hamisi Taletale - 318
Omari Mghumba - 242

Morogoro Mjini - Kura 638
Abdul-Aziz Abood - 524
Merkiory Manset - 17
Ally Yahaya Simba - 15
Idhah Omary Abdalah (Alsaedy) - 10

Mvomero
Amosi Makala - 321
Selemani Sadiq - 231
Jonas Van Zeland - 12

Malinyi
Antipas Mgugusi - 125
Mecktiris Mdaku - 91
Dkt. Haji Mponda - 47

Ulanga
Salmu Hashimu (Alma's) - 219
Goodluck Mlinga - 123
Fadhili Lilongeli - 114


13. MTWARA

Mtwara Mjini
Judith Nguli - 126
Hassan Mtenga - 94
Mussa Chimae

Mtwara Vijijini - kura 847
Hawa Ghasia 440
Seleman Mwamba 191
Olivernus Paul 139

Nanyamba
Abdallah Dadi Chikota - 676.
Rukia Mchika - 25
Fadhili Likwata - 7

Nanyumbu
Yahya Muhata 385
Dua W. Nkurua 298
Andrew J. Napacho 84

Ndanda
Oscar Anthony Ng'itu - 250
Faraja Nandala - 154
Cecil Mwambe - 33

Newala Mjini - Kura 526
George Mkuchika - 319
Rashidi Mtima - 121
Karimu Lichela - 42

Newala Vijijini
Nawanda yahaya - 315
Mtanda Maimuna - 156
Abdurahim Azhad - 87

Tandahimba - 1252
Dkt. Twahili Salumu - 324
Katani Katani - 308
Mponda Hamidu - 235

Masasi
Geoffrey Mwambe - 337
Rashid Chuachua - 127

Lulindi
Issa Ally mchngaela - 167
Jorome Bwanaausi - 159
Peter Mrope - 140

14. LINDI

Kilwa Kusini

Kilwa Kaskazini


Lindi Mjini - Kura428
Hamida Abdallah - 197

Liwale - Kura 482
Faith Mitambo - 363
Zuberi Kuchauka - 71
Halifa Kujakila

Mtama
Nape Nnauye - 496
Nahonyo Cuthbert 177
Chiwinga Aushuatino - 42

Mchinga
Mama Salma Kikwete - 92
Ahmad Said Mderu - 68
Riziki Lulida - 62

Nachingwea
Hassan Elias Massala - 435
Majid Lupanda - 216
Zainabu Makwinya - 108

Ruangwa
Majaliwa Kassim Majaliwa - Alikuwa peke yake


15. KATAVI

Katavi
Issack Kamwelwe - 155
Maganga Kampala - 48
Jastine Mdamila - 3

Kavuu
Pudensiana Kikwembe - 178
jofrey Mizengo Pinda - 74
Emmanuel Zumba - 52

Mpanda Kati
Sebastian Simon Kapufi - 379
Evarist Mnyere - 38
Theonas Kinyonto

Mpanda Mjini
Kapufi - 379
Mnyele - 38
Kinyonto - 28

Mpanda Vijijini - 482
Seleman Kakoso - 437
Lusesa Bededikto - 19

Nsimbo - 469
Lupembe - 355
Mbogo - 121
Madaha - 5


16. NJOMBE

Njombe Kaskazini

Njombe Kusini

Deodatus Mwanyika - 136
Alfred Luvanda - 67
Anord Mtewele - 60
Edward Mwalongo - 28

Makambako
Deo Sanga - 421
Robert Msigwa - 29
Mhandishi Sostenes Ngogo - 20

Wanging'ombe
Enock Kiswaga - 175
Eng. Gerson Lwenge - 159

Makete
Festo Sanga 116
Profesa Norman Sigala 89
Egnatio Mtawa 86


Ludewa
Joseph kamonga 320
Dkt. Philipo Philikunjombe 191
Dkt. Suzan Kolimba 76
Deo Ngalawa 62

Lupembe 421
Edwin Swale - 138
Jorum Hongoli - 61


17. DODOMA

Bahi

Keneth Nolo - 259
Dornald Mejeti - 210
Omary Badueli - 32
Emanuel Mathias 'MC PILIPILI' - 1

Chemba
Mohamed Moni - 327
Juma Nkamia - 162
Hawa Gondawe - 66

Chamwino (Chilomwa) - 709
Deo Ndejembi - 422
Joel Mwaka aliyepata - 99
Vincent Chomola - 63

Dodoma Mjini - 1189
Anthony Mavunde - 904
Musa Luhamo - 111
Robert Ntyami - 29

Kibakwe
George Simbachawene - 667
Kwame Mwaga - 152
Augustine Gailanga -19

Kondoa Mjini
Ally Makoa - 137
Omary Kimbisa - 71
Edwin Sanda - 24

Kondoa Vijijini
Dkt.Ashatu Kijaji - 703
Hassani Lubuva - 238 n
Issa Orry - 36

Kongwa - Kura 889
Job Ndugai - 850
Dkt. Samora Mshanga - 20
Isaya - Mngulumi - 19

Mpwapwa
George Malima - 263
Charles Kuziganika - 90
Zakayo Mkemwa - 46

Mvumi (Mtera)
Livingstone Lusinde - 571
Dkt. Michael Msende - 120
Mwanga Chibago - 37


18. MWANZA

Buchosa - Kura 751
Dkt. Charles Tizeba - 354
Erick Shigongo - 354

Ilemela - Kura 685
Dkt. Angeline Mabula - 502
Israel Mtambalike - 112

Kwimba
Mansoor Shanif Jamal - 297
Yusuph Bujiku - 76
Cosmas Bulala - 37

Magu

Misungwi
Alexander Mnyeti - 406
Charles Kitwanga - 259

Nyamagana
Stanslaus Mabula 319
John Nzwalile 54
Nzilanyingi John Francisco 46

Sengerema
Hamisi Tabasamu - 335
William Ngeleja - 120

Sumve
Kasalali E.Mageni - 138
Bujaga Moses Charles - 131
BusigaSolwe M.Shinje - 110

Ukerewe
Joseph Mkundi - 171
Longino Kasiri - 108
Babilas Mjola - 95


19. RUVUMA

Songea Mjini
Dkt. Damas Ndumbaro - 315
Koyoya Fuko - 200
Ibrahim Jeremia -34

Nyasa
Stella Manyanya - 539
Njowoka Thobias -76
Mahinya Tito - 52

Tunduru Kaskazini
Sikudhani Yasini Chikambo - 436
Hasan zidadu Kungu - 180
Ramo Matala Makani - 99

Tunduru Kusini
Daimu Iddi Mpakate - 582
Mtutura Abdallah Mtutura - 143
Mtamila Abdul Achikuo - 22

Peramiho
Jenister Mhagama - 845

Madaba
Joseph Mhagama - 319
Grolious Luoga - 16
Patrick Nombo - 8

Namtumbo
Ngonyani Edwin - 188
Kawawa Vita Rashid - 163
Musa Kasimu -122

Mbinga Mjini
Sixtus Mapunda - 246
Jonas Mbunda - 194
Narsis Ndunguru - 161

Mbinga Vijijini
Benaya Kapinga - 247
Gaudence Kayombo - 196
John Ndunguru - 194


20. RUKWA

Sumbawanga Mjini
Aeshi - 419
Kachoma - 47
Mwalembe - 20

Nkansi Kaskazini

Nkansi Kusini
Moses Kaegele - 185

Kwela

Kalambo

Josephat Kandege - 630


21. KAGERA

Biharamulo

Bukoba Mjini - 326

Almasoud Kalumuna -116
Muhajir Kachwamba - 36
Dkt. Anatory Amani - 17
Alex Muganyizi - 17


Bukoba Vijijini
Jason Rweikiza - 404
Yasir Matsawili - 101
Ismail Nasoro - 43

Karagwe
Innocent Bashungwa - 587
Joseph Kahama - 48
Vedasto Gotfrida - 7

Kyerwa
Innocent Bilakwate - 298
Benedicto Mutungilei - 200

Muleba Kaskazini
Charles Mwijage - 387
Edward Mujungu - 135
Adonisia Bitegeko - 30

Muleba Kusini
Denis Kinubi - 335
Oscar Kikoyo - 174
Modest Rwakaemula - 79

Ngara
Ndaisaba Ruhoro - 211
Alex Gashaza - 144
Issa Sama - 132

Nkenge
Florent Kyombo - 102
Asumpta Mshama - 93
Dkt. Diodorous Kamala - 24


22. MARA

Bunda Mjini

Robart Maboto -140
Stephen Wasira - 115
Zuru Nanji - 63

Bunda Vijijini
Boniface Getere - 161
Musika Musafiri - 140
Webiro Kisuri - 12
Mangera Marwa - 11

Butiama
Jumanne Sagini - 84.
Frank Mahemba - 80
Joseph Nyamboha - 44
Rashid Gea - 34
Makongoro Nyerere - 5
Madaraka Nyerere - 2

Musoma Mjini
Verdastus Mathayo - 220
Juma Mokili - 122

Musoma Vijijini
Profesa Sosipeter Muhongo - 391
Joseph Nyamarege - 50
Maganga Paschal - 35

Rorya
Chege Wambura Fafari - 152
Orwero Genga - 121
Evarist Motete - 80

Serengeti
Dkt Kebwe Stephen - 222
Amsabi Murimi - 203
Marwa Ryoba - 80

Tarime Vijijini
Mwita Waitara - 291
James Bwire - 135
Eliakim Maswi - 128

Tarime Mjini
Jackson Kangoye - 126
Michael Kembaki - 68
Gerald Martine - 20

Mwibara
Kangi Lugola - 173
Charles Kajege - 173
Cyprian Musiba - 58


23. SHINYANGA

Kahama Mjini

Jumanne Kishimba - 234
Benjamini Ngaiwa - 181
James Lembeli - 54

Kishapu - Kura 882
Suleiman Nchambi - 544
Kishiwa Francis Kapale - 54
Boniphace Butondo - 40

Msalala
Idd Kassim - 327
Ezekiel Maige - 118
Khatib Mgeja - 75

Shinyanga Mjini
Stephen Masele - 152
Jonathan Manyama - 65
Gasper Kileo - 51

Shinyanga Vijijini
Ahmed Salum - 377
Azza Hilal Hamad - 304
Jeremia John Jiriri - 35

Solwa - Kura 823
Ahamed Salum - 377
Azza Hilal Hamad - 304
Jeremia John Jiriri - 35

Ushetu


24. SIMIYU


Bariadi
Andrew Chenge - 442
Mhandisi Andrew Mathew - 339

Busega

Itilima


Kisesa
Luhaga Mpina - 316
Musa Mbuga - 152
Itandula Gambamala - 9

Maswa Mashariki

Maswa Magharibi
Stanslaus Nyongo - 309
Peter Bunyongili - 209

Meatu


25. KIGOMA

Buyungu

Aloyce Kamamba - 50
Msakila KABENDE - 47
Emmanuel - Gwegenyeza - 44

Kasulu Mjini
Prof. Joyce Ndalichako - 405
Daniel Nsanzugwanko - 80

Kasulu Vijijini
Augustine Holle Vuma - 266
Agripina Zaitun Buyogera - 97
Samweli Filbert Kadogo - 70

Kigoma Kaskazini
Peter Serukamba - 261
Asa Makanike - 81
Suleiman Hanzuruni - 51

Kigoma Kusini/Uvinza
Hasna Mwilima - 273
Nashon Bidyanguze - 143
January Kizito - 117
David Kafulila - 64

Kigoma Mjini
Kirumbe Ngenda - 218
Dk Juma Mwaka - 44
James Nyabakari - 37

Manyovu
Dkt. Philip Mpango - 298
Albert Obama - 72
Abia Muhama - 26

Muhambwe
Atashata Nditiye - 250
Jamali Abdalah - 96
Dickson Bidebel - 50


26. ARUSHA

Arusha Mjini
Mrisho Gambo - 333
Philemon Mollel - 68
Albert Msando - 19

Karatu

Arumeru Magharibi

Noel Severe - 113
Goodluck Ole Medeye - 14

Arumeru Mashariki
Dkt. John D Pallangyo - 536
Dkt. Daniel M Pallangyo - 63
Joshua Nassari - 26.

Longido
Dkt. Stephen Kiruswa - 529
Lomayani Logile - 68
Sabore Ole Moloimet - 45

Monduli - 589
Fredrick Lowassa - 244
Julius Kalanga - 162
Wilson Lengima - 149

Ngorongoro
William Ole Nasha - 601
Elias Ngorisa - 84
Fredy Ledidi - 64
 
Moshi vijijini Kuna Ester Mmassy na Victor Tesha ambao watachuana vikali. Wengine hawana nguvu.

Ubungo yupo Emmanuel Maluli huyu ni Katibu wa Hamasa kata ya Makuburi.

Mwingine ni Cypirian Mrema ambaye Ni mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ubungo.

Pia yupo Kitila Mkumbo. Wengine siwajui
 
Waziri wa Fedha Dr. Mpango anakabiliana na mhe. Obama mbunge anayetetea kiti hicho jimbo la Buhigwe. Kasulu mjini ni waziri wa Elimu Prof.lJoyce Ndalichako dhidi ya Daniel Nsanzugwako mbunge anayetetea jimbo hilo.

Dr Mpango anatokea eneo lililo pembeni mwa jimbo hilo na lenye wakazi wachache huku Obama akiwa mzaliwa wa Manyovu upande wenye wakazi wengi. Kwa upande wa Ndalichako huyu amekulia na kusomea Kigoma mjini japo asili
yao in Kasulu mjini.

Awali alikuwa agombe Kigoma mjini lakini akakimbilia Kasulu baada ya kuona jimbo hilo uamuzi wa kuwa mbunge huamliwa na wazee wa Ujiji ambao ni waislamu.
 
Back
Top Bottom