Jimbo kama la kawe, kamati kuu inabidi iwe makini sana!! Mtu anaweza akashinda ndani ya chama lakini hana mvuto kwa wananchi!! Kumshinda Mdee inabidi apatikane mtu mwenye uwezo wa kuchukua kura kwa CCM na CHADEMA. Kwa kawe, Gwajima anafaa sana nikilinganisha na wengine...

Mdee ataondoka asubuhi na mapema...
Upo sahihi mkuu, Gwajima anapaswa kupewa nafasi achuane na Mdee.
Porn star gwajimen apigwe arudi mtaani kuendelea kuratibu kile kikundi chake cha kikabila.......
 
kwani mfanyabiashara sio mfanyakazi? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na biashara? Gwajima sio mfanyakazi ? Angekuwa hafanyi kazi angekuwa na waumini na kanisa? Mfano Bakheresa sio mfanyakazi angekuwa hafanyi kazi angemiliki mali zote zile?

Au kwako tafsiri ya mfanyakazi ni ipi?
Kwanza hujui wafanyabiashara. Kuu..... Tuachane na hiyo umemuona mnyomge hapo?
 
Kwanza hujui wafanyabiashara. Kuu..... Tuachane na hiyo umemuona mnyomge hapo?
Ndio Mgombea mnyonge ni mtu akiwa anagombea anakuwa na support ya wanyonge wengi wenzie lakini ukiona anapata zero au kura moja huyo hata kuitwa mnyonge hafai hana wenzie wa kumuunga mkono?
 
Mkoa wa Kigoma

Buhigwe

Dr. Philip Mpango 297
Obama 76

Kigoma Kaskazini

Peter Serukamba 261
Asa Makanike 81
Suleiman Hanzuruni 51

Kasulu Vijijini
Augustine Vuma 266 (alikuwa mbunge anayemaliza muda wake)
Agripina Buyogera 97
Samson F. Kabogo 70
Betola Juma Kulikiza 46
Emanuel T. Msasa 26
Yona P. Msongwa 21
Adam P. Mkuyu 20
Prof. Hudson Nkotagu 18
Leonard L. Nyanzira 11
Gibson Bunyaga 10

Kwa hiyo Augustine Vuma ameongoza kutetea Ubunge katika Jimbo aliloliwakilisha.

Buyungu
Kamamba 50
Msakila 47
Gwegenyeza 44
Eng. C. Chiza 33
Eliya 13

Kwa hiyo Eng. Christopher Chiza ameshika nafasi ya 4 kwenye Jimbo alilokuwa mbunge
 
Back
Top Bottom