Kenya 2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

Kenya 2022 General Election
Lakini wewe si umesema tayari 90% tayari na Ruto kashinda?
Angalia nukichojibu na nilichoulizwa. Uache kukurupuka, kwani Ruto alishinda tafsiri yake hakuna wizi kwenye kura? Ukiwa na mil 10, ukaibiwa mil 1, unakua hujaibiwa?
 
Tumepindua meza tume malizaaa watch Citizen live
Screenshot_20220810-152714_YouTube.jpg
 
Odinga ni maalim seif wa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom