Yaliyojiri Tuzo za EATV kutoka Dar es Salaam

Naomba nikupinge kwa hoja na pia naomba niwapongeze waandaji kwa kuacha uhuru wa kila msanii kuomba kazi yake ishindanishwe na katika kifungu anachoona yeye mwenyewe mwenye kazi kuwa kinafaa kuwa pale.

Hii ni nzuri na itasaidia kwa wasnii watata wale wanaoibuka na kulalama kuwa sitaki nishirikishwe tuzo zenu mara ohhh wanapendelea mara ohh nimeonewa. Hapa unajilipua mwenyeweeeee... Haina lawamaaa.

Hii ni nzuri sababu wapo wasnii wanaamini wao ni wakubwa kwa majina na umaarufu wa skendo na magazeti mjini..... Hawa wataumbuliwa na kazi nzuri za wasanii wachanga watakaoingia kwenye kundi moja nao.

Pia hii ni funzo sahihi kwa wasanii kutunga na kutengeneza nyimbo kwa uwelewa zaidi uko katika midundo ipi ili aweze kushindanishwa na wanamuziki wenzake say afropop au traditional dance au gospel n. K.

Mwanzo mzuri na big up eatv kwa tuzo za kitanzania ...... Wanaojiona wao wakubwa itajulikana tuu... Tujipe 5yrs tutapata majibu ya hizi tuzo.

Ukipitia post zangu vizuri utagundua kwamba hiyo si hoja.

Na ikibadilika haileti madhara, kwa mfano kwa vipengele vya mwaka huu, hilo zoez lilikuwa un necessary, vipengele vilikiwa vinaonekana kabisa. Tena vilikiwa vichache.
 
those days
Ilikuwa motroooooo
Siku hizi no hard feelings kabisa...
Hushangai hadi kuna couple baina ya hizi timu?
Zamani ilikuwa ndoto.
Teh teh nlikuwa natukanana Na bae coz ya hizi team.....talakailinukia
 
Walioenda kuchukua form ndio wakome.
Kina joh makini, na Ben Pol, eti nao wakajua watapata tuzo. Hihihihiiiiiii.
 
Kama kuna mtu alidhani tuzo hizo watapewa wasanii wengine kama sio kiba,basi hawakuwa sawa kichwani. Hao wengine walikuwa kama geresha tu,ila waliokusudiwa walijulikana.
Sijaelewa ulichoandika bwana mdogo naomba ufafanuzi
 
Kiba angeshindwa duh pasingekalika kashinda pia figisu haziishi ,fanya lililojema kwako ila ukitaka kuridhisha wanadamu kazi sana ,kulikua na kina ferouz,inspector a.k.a babu walipendwa saaana ila walipopotea kisanii hakuna amjuaye sasa siku mondi au kiba akipotea kimuziki au akiacha mziki hizi kelele ndio zitaisha ,kwa mimi dah zote nyimbo bora ila aje bado inagongwa mpaka kesho wakati diamond kashatoa nyimbo nyingi toka itoke AJE na zimeshapotea hewani,ushauri tu diamond nae atoe nyimbo mara chache ipigwe muda mrefu nitafurahi zaidi kwangu napenda za mondi zile za mbagala,kamwambie zilikua best sana na hata kesho zikipigwa popote nasimama
Unapo sema wimbo unapigwa mda mrefu na mwingine haupigwi Unaongea kwa research ipi ulio fanya na sample size yako ilikuwa kiasi gani na kwann? Au kwa mantiki ya wewe kutokupiga ghetoni kwako unawaza na wengine hawapigi acheni mizuka ya kushiba viporo
 
Kwanza usizani kila mtu anaishi gheto hayo yakwenu nyie vijana mnaojiendekeza naishi kwenye nyumba sio gheto ,pili research ndogo sana mziki unapigwa haswa radio stations,tv stations, club,bar,saloons,kwenye magari,kwa mafundi,na majumbani kote huko tazama wewe mwenyewe ya kiba inapigwa mingapi na ya mondi mingapi inapigwa kisha tazama releasing ya hizo nyimbo ni za mwaka gani na zipi zinaamsha ,kama unanyimbo kumi wakacheza watu kumi na upendo kabisa na mwigine ana nyimbo mbili na zikachezwa kwa upendo kabisa zote mbili hauihitaji elimu ya darasani kujua nani bora ,kama unaweza toa mbili zikabamba kwann utoe kumi na uwezo huo Mondi anao atoe chache tuzifurahie muda mrefu kuliko kutoa nyimbo nyingi katika kipindi kifupi nyimbo zinajipoteza zenyewe sokoni na watu wanazoea kungojea mpya ndio wazisikilize
 
Nyimbo za mond haziishi
 
Hivi kwa hesabu ndogo tu, huyo uliyemtaja kafanya collabo ngapi za kitaifa na kimataifa mwaka huu, na ame release ngoma zake ngapi? Na ukiacha mwitikio mkubwa zilizopata hizo ngoma kutokana na budget kubwa ya promotion,kitu ambacho kibiashara ni safi kwani zinarudi kwa asilimia kubwa zaidi.Issue inakuja kwenye muda inayodumu ngoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom