NdegeWakati JPM Yuko Nzega Lissu alikuwa shinyanga, alipitia wapi misafara haijakutana? Wakati hamna njia mbadala?
Sawa kabisa...endelea kuamini hivyo hivyo..Ah huyu Magufuli ni mweupe sana. Hawezi kujibu hata hoja moja ya Lissu
Kwa Mujibu wa ratiba ya kampeni iliyotolewa na Chadema inaonyesha kwamba Mh Tundu Lissu leo atakuwa Tabora
=====
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
CHADEMA TUNDU LISSU leo Septemba 3, 2020, atazindua kampeni kwa Kanda ya Magharibi, uzinduzi ambao utafanyika katika viwanja vya Chipukizi mkoani Tabora.
View attachment 1557624
View attachment 1557627
Msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, aliyeambatana na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, ukiingia na kupokelewa katika Uwanja wa Chipukizi, mjini Tabora baada ya kufika mkoani humo akitokea Mkoa wa Shinyanga.
View attachment 1557623
View attachment 1557631
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia maelfu ya wananchi wa Mkoa wa Tabora waliofika kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za mgombea huyo kwa Kanda ya Magharibi (Kigoma, Tabora na Katavi) uliofanyika katika Uwanja wa Chipukizi, mjini Tabora leo Alhamis, Septemba 3, 2020.
View attachment 1557625View attachment 1557626View attachment 1557628View attachment 1557630
Umati wa maelfu ya wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, Mhe. Tundu Lissu, kwenye Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chadema, Kanda ya Magharibi (Tabora, Kigoma na Katavi) uliofanyika leo Alhamis, Septemba 3, 2020, katika Uwanja wa Chipukizi, mjini Tabora.
Nani anayetaka kusalimiana na muuaji?Lisu kamkimbia JPM ilikuwa wakutane Tinde wasalimiane, Lissu akazuga kwenda kwanmganga wakienyeji alikopitia sijui kaibukia tabora
Amepeleka maji kwa kodi zetu wananchi, si kwa pesa zake wala za ccm. Ni wajibu wa serikali kutumia kodi inayokusanya kupeleka huduma kwa walipakodi. Si jambo la kupongezwa wala kusifiwa. Hata farao alikusanya kodi na kutoa huduma kwa raia wake, lakini hakuwa kiongozi mzuri.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
Na atabaki madarakani kwa nguvu ya kodi yenuAmepeleka maji kwa kodi zetu wananchi, si kwa pesa zake wala za ccm. Ni wajibu wa serikali kutumia kodi inayokusanya kupeleka huduma kwa walipakodi. Si jambo la kupongezwa wala kusifiwa. Hata farao alikusanya kodi na kutoa huduma kwa raia wake, lakini hakuwa kiongozi mzuri.
Wale hata wakipita kwangu lazima niwatoe nduki.ITV siyo ya Chadema, tv inayoonesha kampeni ni tv ya taifa ambayo chadema waliwafukuza mkutanoni.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Pumbavu huna akili. Je kama angezitafuna maana hakuna wa kumzuia.Amepeleka maji kwa kodi zetu wananchi, si kwa pesa zake wala za ccm. Ni wajibu wa serikali kutumia kodi inayokusanya kupeleka huduma kwa walipakodi. Si jambo la kupongezwa wala kusifiwa. Hata farao alikusanya kodi na kutoa huduma kwa raia wake, lakini hakuwa kiongozi mzuri.
Kwn hazitafuni? Anazitafuna na ndo maana anazipeleka hd kwao rwandaPumbavu huna akili. Je kama angezitafuna maana hakuna wa kumzuia.
Nilikuwepo kwenye mkutano huu....
Huyu jamaa siyo wa kawaida.....
Watu kwa hiari yao walijazana kwenye uwanja huu wa wazi na kumsikiliza kwa makini mgombea...
Hoja na sera zake anazifafanua ktk lugha rahisi kueleweka...
Watu walikuwa wanafurahia kila dakika...
Alitumia dakika kama 58 hivi kuhutubia...
Lakini watu walikuwa na hamu ya kuendelea kumsikiliza zaidi na zaidi...
Hoja ya ujenzi wa uwanja wa ndege kimataifa Chato itamtesa sana Magufuli na watetezi wake...
Kwa hakika kabisa Chato International Airport ni 100% pure example ya ufisadi wa Magufuli...!!
Magu is empty skull 🤣 🤣Sawa kabisa...endelea kuamini hivyo hivyo..
Maji ya ziwa Victoria ni kaa la moto. Bei yake ni kubwa. Kwa sasa mambo ya bei yamefunikwa ili uchaguzi upite. January inakuja.Mradi wa maji toka ziwa victoria umeshammaliza. Ccm wanazoa kura zote Tabora. Maana huu mradi umewapa credit kubwa sana ya kisiasa Ccm. Akina mama wa kinyamwezi hawawezi kumsikiliza mtu anaesema kuletewa maji tabora ni maendeleo ya vitu.
uongo wenu
Utaielewa tu October 28pouplation au kwa kanda? sasa mbona unabwabwaja uongo kuwa mnazindua kwa kanda? Lakini turudi nyuma kama kweli mnazindua kwa population mbona mlipata watu wachache mbagala,kawe na segerea Dar es salaam kuliko Arusha au Mwanza? hiyo logic ya population mbona haieleweki?