nimeyaua kwa hasira
IMG_20201028_110614.jpg
 
Maneno kama haya ndio yanayo leta vita kwani huwezi kupiga kura bila kutukana mtu?
Hili ndio tatizo la JF na Mods wake. Vitu kama hivi ni vyakutoa kwenye mitandao...
Mara ngapi mmemuita Lissu shoga? Acha unafiki.
 
Zamani kura walikuwa wanapiga wazee. Nakumbuka mara ya kwanza kupiga kura nilikuwa naogopa kukaa kwenye mstari maana ilikuwa ni eneo nilipokulia. Sasa wazee wengi wameniona nikikua pale nikawa naona vibaya wakija wanakaa nyuma nipo mbele.

Lakini mambo yamebadilika sana miaka hii. Leo nimeona vijana wengi sana wanapiga kura hususan hawa ndugu zetu wa bodaboda.
Tena kama bodaboda wanamchinja Lissu mapemaaa.. Maana wanampenda sana JPM kawapa uhuru wa kupiga hela hadi katikati ya miji
 
Wahi kituoni ukapige kura.

Mkuu una shaka na mimi kwenye upigaji kura? Kura yangu ni kwa Chadema kwa ngazi zote. Nimepita kwenye kituo changu watu ni wachache mno. Ndani ya nusu sasa naingia kituoni kuendelea kumkataa Magufuli na CCM kama kawaida yangu. Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom