Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Vijana hawana muda mchafu wa kumpigia mtu kura wao wanatafuta riziki yao hapa kilimanjaro nawaona wazee Ru.Je, muamko wa vijana kujitokeza kupiga kura katika eneo ulipo upoje.
Nimefarijika kuona idadi kubwa ya vijana wamejitokeza kupiga kura, kura ya mabadiliko, kura ya kuamua hatima ya maisha yao ya baadae na vizazi vinavyokuja.
Ewe mama, ewe baba, ewe dada, ewe kijana hakikisha unaenda kupiga kura.
Aluta continua!