Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 172
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha