Yaliyojiri RFA jana ucku

Kifai

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
816
172
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha
 
Ndugu yangu nami pia nimewahi kumsikia lakini I thought ilikuwa comedy.
Kama ni kweli basi wajinga hawaishi duniani na RFA inageuka kikombe cha Babu wa Loliondo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nakushauri tuma tu hiyo 20000, hata mimi mwanzo nilijawa na wasiwasi, lakini hivi sasa mambo yangu yajayo yote nayajua
 
Duniani haviishi vituko. Mngemuuliza mtabiri yeye kajitabiria?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Siku hizi hata matapeli hayaoni aibu tena. yanendesha vitendo vya wizi wazi wazi. hayaogopi, si Serikali tu, bali hata Mungu. majizi kama hawa wakiwa China adhabu yao ni moja tu....!
 
Kama yeye anamaliza shida za watu mbona yeye halali huo usiku yupo redioni akiwa na shida ya hiyo hela anayotaka umtumie? Think twice before you send your money
 
Kawambwa!!!!Kawambwa!!!!Kawambwa!!!!Kawambwa!!!!
Unalipeleka wapi taifa letu muheshimiwa?
 
Mimi sikuwahi kumsikiliza huyo mtumishi hiyo jana. Hata hivyo, kuna mtumishi wa Mungu ambaye alizungumza kwenye RFA miezi kama 2-3 iliyopita, nafikiri atakuwa ndiye yeye. Alianza kwa mbwembwe za kuzungumza kiingereza huku mkalimani akitafsiri. Kama ni yeye atakuwa ni tapeli! Nasema ni tapeli kwasababu ndugu yangu aliinukuu simu yake na ilichukua siku kama 2 ndipo alimpata. Baada ya kuongea naye, alimwambia atume elfu10 kwa Mpesa. Baada ya kuzituma hizo pesa hadi sasa hiyo simu haipatikani tena! Ajabu ni kwamba anatoa namba moja tu ya simu na wateja wanaopenda kuzungumza naye baada ya kuingia kwenye "fix" yake ni wengi! Angekuwa na simu nyingi kama Dr. Ndodi ningemwelewa!
 
Cha mjinga huliwa na mwerevu, kiendacho kwa mganga hakirudi na mchuma janga hula na nduguze!
 
Ebu hiyo 20 katoe sadaka kanisani!wezi tu hao!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Huyo atakuwa ni tapeli tu kama wale kina dada wa Nigeria,unajua ukimsikiliza akiwa anapokea sim za wale watu wanaokuwa wanajidai kumpigia utasikia wanasema ''napiga simu toka Mbeya, Mwanza n.k" lkn ukijarib kusikiliza kisw.cha hao wanaopiga simu yaan utajua kabisa kuwa wale si Watz bali ni Wakenya ila wanajifanya kutaja mikoa ya Tz lkn wanakuwa wanafail lafudhi yao. Haraf ushaona wapi mtu wa Mungu akafanya utabiri? Maanake yule anafanya utabir ila kupitia jina la Mungu.Angalia utaibiwa.
 
Ndugu zangu natumai hamjambo' jana ucku mnamo wa saa 3 ucku ivi, alikuwepo jamaa mmoja anajiita mtumishi wa bwana, yani ilikuwa ivi, alikuwa anapokea cm za watu mbalimbali kupitia redioni na kuanza kuwatajia au kuwatabiria mambo yanayowasibu katk maisha yao, cha kushangaza sasa....! Huyu mtumishi alitoa namba zake za cm ila unapompigia kabla hajakwambia ki2 chochote lazima utume kwanza tsh 20000, je kuna yoyote mwenye details za huyu mtumishi anijuze kabla cjatuma hiyo hela yangu ili nipate utabiri wa maisha yangu yatakavyokuwa hapo bdae? Pls utani ukae pembeni, nawakilisha

Wekeni hapa hiiyo namba nimtumie hiyo twenti fasta jamani, sina hata pesa ya kula wanangu leo!...uuuuhhuhuuhu!
 
Utabiriwe? Halafu iweje? Akitabiri kuwa unakufa kesho utakubali au utakataaa???
 
Back
Top Bottom