yaliyojiri nilivyokwenda ukweni kujitambulisha weekendi hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yaliyojiri nilivyokwenda ukweni kujitambulisha weekendi hii

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by UncleUber, Aug 27, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  basi bwana mtu mzima nikajikusanya kusanya na mshenga kwenda kwao charminglady kujitambulisha kuwa mimi ndo muoaji na ndo muhusika wa ilo tumbo lake, kweli tulipokelewa kwa bashasha watu8 na mkewe measkron kwa kweli mambo yalikwenda poa, na kwa kuwa hali ya tumbo inazidi kuwa tete ikabidi mahari itwaje na mimi wala sikuhitaji kupinga kiasi kilikuwa fair kabisa... nimeacha wanaanza maandalizi ya send off, huku nako tunajipanga kwa harusi....

  so harusi ipo na tumepata baraka za wazee pande zote mbili, msisikilize maneno ya wahuni wasiotutakia mema


  nawakilisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,614
  Trophy Points: 280
  Ole wake atakayeweka chokochoko....LIWALO NA LITAKUWA!!
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii movie yenu ikifika mwisho mtanijulisha...
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Naona mambo yanaenda sawa!
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ulisikia lini ISIDINGO inaisha? siku ukiisikia isidingo imeisha basi jua umeisha wewe !
  Hivi wajua wapo members hapa Isidingo inawazidi umri !
   
 6. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  BAGAH hahahaaahahaaaaaaaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,749
  Trophy Points: 280
  Hilo halina ubishi!
   
 8. Duzente Siqwente

  Duzente Siqwente JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kila la kheri mungu awabariki
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  thnx much dady kwa baraka zenu, mimi na my huz to be MtotoSix tunawapenda sana. tunawaahidi ndo yenye furaha na amani kama mlivyotuusia!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #10
  Aug 27, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Hongereni maharusi watarajiwa. Me ntakuwa mpambaji ukumbi najitolea
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,614
  Trophy Points: 280
  usijali binti yangu...daddy luvs u so much
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  asante kwa moyo wa kujitolea. naomba uungane na kamati ya mapambo akina cacico na beibe nasty
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  nimefanya kuagiza kabisaaaaaaa, kim kardashian na jlo wa ukweee watakuja kupamba na cc, nimefurahi sana waliposema they will b here! itakuwa ya ukweeeeeeeee! mzima wewe??
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Aug 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Afu wewe siku hizi sijui ukoje? Huko nyuma hukuwa hivi kabisaa.
   
 15. Naisujaki Lekangai

  Naisujaki Lekangai JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 1,333
  Likes Received: 1,302
  Trophy Points: 280
  Hongereni. Ila kuna habari kwamba wakati ndio sasa anapanga safari ya Sumbawanga.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ntafurahije! me mzima mpnz nshafika zangu hm napumzika c wajua tena ubusy wa j3!
   
 17. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #17
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  ashindwe na alegezwe kunako naniliu zake! tena alaaniwe kwa jina la bibi yake mzaa babu yake mzazi. . . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...